गाने

Mmmmh baaady Shiiih! Nampenda mmoja sitaki mwingine Msiniwaze Namtaka mmoja simtaki mwingine Msiniwaze Aaaah Aaah nalia nalia naliaga Akininunia napagawaga Nalia nalia naliaga Akinisusia nachachawaga Hivi huku ndo wanaitaga kupendana Siwezi kula bila huyu kijana Hivi haya haya ndo mapenzi Siwezi kulala bila haka kadada Nampenda mpenda Msichana mmoja Mweupe kidogo Mweusi kidogo Nampenda mpenda (Nani) Msichana mmoja (Nani) Mweupe kidogo (Nani) Mweusi kidogo (Nani) Hivi huku ndo wanaitaga kupendana Siwezi kula bila huyu kijana Hivi haya haya ndo mapenzi Siwezi kulala bila haka kadada Ananikosha roho Ananirusha roho Ananikuna kuna Ananirusha roho Anavyopita ananukia kama malaika Ndo huyo huyo huyo shemu wenu Anavutia kama malaika Ndo huyo huyo huyo shemu wenu Hivi huku ndo wanaitaga kupendana Siwezi kula bila huyu kijana Hivi haya haya ndo mapenzi Siwezi kulala bila huyu kijana Nampenda mpenda Mkaka mmoja Mweupe kidogo Mweusi kidogo Nampenda mpenda (Nani) Mkaka mmoja (Nani) Mweupe kidogo (Nani) Mweusi kidogo (Nani) Hivi huku ndo wanaitaga kupendana Siwezi kula bila huyu kijana Hivi haya haya ndo mapenzi Siwezi kulala bila huyu kijana
Writer(s): Omary Ally Mwanga, Abigael Chamungwana Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out