गाने

Neym Leo zamu yangu nimekamata kibunda Ukinikuta chaka lolote usiniite we vunga Nataka nilewe mpaka hamu iniishe Hata kula siwezi, nataka nilishwe Nisuuze roho yangu, nijiburudishe Sio mikojo tu, ikinibidi niharishe Staki company (company) Kwenye pesa zangu usilete utani (utani) Waiter leta mezani (mezani) Nikishalewa ndo nipate kihani (kihani) Raya ya kulewa uyumbe kidogo (yumba, yumba, eh) Yumba, ikibidi anzisha na zogo (yumba, yumba, eh) Raya ya kulewa uyumbe kidogo (yumba, yumba, eh) Ukinyimwa unyumba hamia nyumba ndogo (yumba, yumba, eh) Natamani leo ingekua siku ya walevi duniani Ningenunua mipombe nigawe mpaka kwa majirani Oya, walevi wote leo birthday yetu, tu-enjoy (Walevi wote leo birthday yetu, tu-enjoy) Oya, walevi wote leo birthday yetu, tu-enjoy (Walevi wote leo birthday yetu, tu-enjoy) Hasa twende kilevi, levi, levi (kilevi) Tembea kilevi, levi, levi (kilevi) Hasa twende kilevi, levi, levi (kilevi) Cheza kilevi, levi, levi (kilevi) Staki company (company) Kwenye pesa zangu usilete utani (utani) Waiter leta mezani (mezani) Nikishalewa ndo nipate kihani (kihani) Raya ya kulewa uyumbe kidogo (yumba, yumba, eh) Yumba, ikibidi anzisha na zogo (yumba, yumba, eh) Raya ya kulewa uyumbe kidogo (yumba, yumba, eh) Ukinyimwa unyumba hamia nyumba ndogo (yumba, yumba, eh) Lugha gogana How are you? How are you hayupo nimemwacha istizu Lugha gogana Lugha gogana I miss you Okay, thank you, thank you Lugha gogana Kamixlizer
Writer(s): Sarah Michael Kitinga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out