Lirik

Hehe he Cedo Ona wamefanikiwa kututenganisha mimi na wewe! Yote ulioambiwa yamekupotosha mpaka sasa hunipendi Jua langu limepotea naona giza ingawa mchana Ukiwa mbali sijazoea my sweetie Stella mum nataka urudi home Mapenzi ya kolekolela nimechorea nipe chance nirudi kwako Tukiwatch telenovela zinanichocha natamani urudi home Moyoni mwako eee Moyoni mwako eee Moyoni mwako eee Nifungulie roho Moyoni mwako eee nifungulie roho Mbona hukutosheka kila ulipewa ulisema ni kidogo Mwelakevyo lhhhye Ndo maana sielewi you are leaving me alone Nimejaribu kukuelezeaaa Kile unasema nasema tu uwongo ...naomba tuongee sasa my sweetie Stella mum nataka urudi home Mapenzi ya kolekolela nimechorea nipe chance nirudi kwako Tukiwatch telenovela zinanichocha natamani urudi home Moyoni mwako eee Moyoni mwako eee Moyoni mwako eee nifungulie roho Moyoni mwako eee Moyoni mwako eee Moyoni mwako eee nifungulie roho Moyoni mwako eee nifungulie roho Moyoni mwako eee mikononi wako eee moyoni mwako eee nifungulie roho
Writer(s): Jean-pierre Nimbona Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out