Lirik

Kukosana na wewe, sikutarajia Kuwa mbali na wewe, aki umeniacha pabaya Kutengana na wewe, imenibadilisha sana Nimetamani nilewe, aki nakunywa nasazamana N'taambia nini watu, Regina? Haya mapenzi yalinoga Nakumbuka tulipeana majina Leo "Baby," kesho "Tomato" Mitandao ikaleta vitina Ukawa huambiliki Nami kichwa changu na kikavimba Nikawasisemezeki Inauma, inauma, lakini n'tazoea Inauma, inauma, lakini n'tazoea Hali ya mwanaume duniani ni kuzoea Hali ya binadamu duniani ni kuzoea, ndio nashindwa Densi, oh, densi, densi tulikamata hadi usiku wa manane, ayy Kesi, oh, kesi, kesi tukakubali tutapendana milele Nyimbo, nyimbo, nyimbo tulizopenda zanikumbushanga wewe Kamisi, oh, kamisi, kamisi na baika uliwacha nanusanga ndio nilale Oh, yoyo Tutaambia nini watu, Regina? Haya mapenzi yalinoga Nakumbuka tukila bata na beer Party aftеr party Shetani gani alituingilia? Akatuweka asunder Ilovito pahali imеnifikisha I'll never love another Na inauma, inauma, lakini n'tazoea Inauma, inauma, lakini n'tazoea Hali ya binadamu duniani ni kuzoea Hali ya mwanaume duniani ni kuzoea, ndio nashindwa Inauma, inauma, lakini n'tazoea Inauma, inauma, lakini n'tazoea Hali ya binadamu duniani ni kuzoea Hali ya mwanaume duniani ni kuzoea, ndio nashindwa
Writer(s): Benson Mutua Muia, Bienaime Alusa Baraza, Joseph Mutoriah, Polycarp Ochieng Otieno Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out