Lirik

Mmmh bad ayeeee Shiiiiiiii Aah ah sheimbembe Tumebarikiwaa tumejipata Tumetoboa bila kodi tumejipata Tumefanikiwa tumejipata Tumeridhika na amaisha tumejipata Sisi hapa watoto wa baba hatunaga mbambamba Sisi hapa watoto wa kiumeni hatunaga kanganga Sisi hapa watoto wa baba ahatuna mbambamba Sisi hapa watoto wa kiumeni hatunaga ndandanda Tuna muogopa mungu pekee Tuna muogopa mungu pekee Tuna muogopa mungu pekee Sio wew sio yule sio kifo Sio njaaa wala majukumu Ndomana Tunamwagia ndani, Mmmh Mwagia ndanni, Mmmh Tunamwagia ndani, Mmmh Mwagia ndani, Mmmh Tunamwagia ndani, Mmmmh Mwagia ndani
Writer(s): Nadia Sanga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out