Dari

PERFORMING ARTISTS
Gramie
Gramie
Performer
Baddest 47
Baddest 47
Remixer
Dayoo
Dayoo
Remixer
COMPOSITION & LYRICS
Hamza Mchuchuri
Hamza Mchuchuri
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Gopa Beatz
Gopa Beatz
Producer

Lirik

[Verse 1]
Siwazi chochoote akili mgando, umenitoa chambo
Umenipiga zongo, mwingi mjuzi wa mambo
Naa shika kichwa ume ziidi utamu, usishike hapo napoteza fahamu
Usirambe hiyo ni dawa haramu
Ahaa, ahaa, ahaa
[Verse 2]
Umenipa mapenzi ya pwanii, yaa bara katii visiwanii
Iyoo iyoo
Huu mbona ni mchanganyiooo, mbona moyo ndo una enda mbiooo
Unachanganyikiwaa
[PreChorus]
Ndani ya ngozi sipo nguoni, kwake stimu nipo common
Kutwa nipo pembezooni, anani susia kamatia wowowoo
[Chorus]
Ahaa ooh, nimenasaa, ahaa oohoo nimenogewa
Ahaa ooh, nimenasaa, ahaa oohoo nimenogewa
Ahaa ooh, nimenasaa, ahaa oohoo nimenogewa
Ahaa ooh, nimenasaa, ahaa oohoo nimenogewa
[Verse 3]
Na milio kwenye sikio oooh, miruzi si sikii milioo noo
Siwezi kuingiwa na kinyongo, kwengine nitaumiza ugoko
Sitobadii badiliika, walaa, me sitobadilii
Ume nii badilishaa ahaa moyooo ume aminishaa
[PreChorus]
Ndani ya ngozi sipo nguoni, kwake stimu nipo common
Kutwa nipo pembezooni, anani susia kamatia wowowoo
[Chorus]
Ahaa ooh, nimenasaa, ahaa oohoo nimenogewa
Ahaa ooh, nimenasaa, ahaa oohoo nimenogewa
Ahaa ooh, nimenasaa, ahaa oohoo nimenogewa
Ahaa ooh, nimenasaa, ahaa oohoo nimenogewa
[Verse 4]
Mhhh anhaa nimenasaa, nimetubu nimeacha anasaa
Hichi kimama kina nipa hamasa, kina viburudani vya tanga na Mombasa
Anhaa shikiriaa natoa bastola naanza pigiliaaa
Una miuno ya kisasa ume pangiliaa
Kinacho fata ni kumwaga naku mwagilia maua
Anhaa leo nakamata maua, sitaki pombe napakata maua
Shika pesa mama, anza kuji tanua, shika taratiiibu mama anza kushika mua
[Chorus]
Ahaa ooh, nimenasaa, ahaa oohoo nimenogewa
Ahaa ooh, nimenasaa, ahaa oohoo nimenogewa
Ahaa ooh, nimenasaa, ahaa oohoo nimenogewa
Ahaa ooh, nimenasaa, ahaa oohoo nimenogewa
Written by: Hamza Mchuchuri
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...