Video Musik

Video Musik

Dari

PERFORMING ARTISTS
Gramie
Gramie
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Hamza Mchuchuri
Hamza Mchuchuri
Songwriter

Lirik

[Chorus]
Nakupendaa
Nakupendaa wewee nakupendaa
Nakupendaa
Nakupendaa wewee nakupendaa
[Verse 1]
Vilivyomo dunianii najua Mungu kanipendeleaa
Mi kua na wewee tuu, wewee tuu
Na utamu wa birianiii, kwenye sahani najipakuliaa
Tukiwa peke yetuuu mhh
[Verse 2]
Sioni hayaa naona rahaa, umenichagua niwe wako naodha
Una nichanganyaa, una nipenda mie kwako nime ozaa
Babe ogopaa maadui, wanao jifanya wana tujua hawatujuiiii
Una nimalizaa we haujii, mtoto wa mama mie kwako si kuii
[PreChorus]
Would you mary miihh, mary meeiih
Would you mary miiihh, mary meiih
Nakupeenda
[Chorus]
Nakupendaa
Nakupendaaa wewee, nakupendaa
Nakupendaaa wewe tuu
Nakupendaa
Nakupendaaa wewee nakupendaa
[Verse 3]
Babe! Mbona ina waka motoo
Waambie jiranii waite zima motoo
Sweetie naona kama ndotoo
We wangu wa ndotooniii hi, naona kama ndotoo
[Verse 4]
Ukinitazama, me napata wengee
Ooh kwa penzi lako sito ruhusu uendee
Nadata kinyama, utamu wa arua tindi
Ooh mahaba yakoo nitwange ni ponde pondee
[PreChorus]
Would you mary miiihh, mary meeiih
Would you mary miihh, mary meiih
Nakupeenda
[Chorus]
Nakupendaa
Nakupendaa wewee, nakupendaa
Nakupendaaa wewe tuu
Nakupendaa
Nakupendaa wewee nakupendaa
Written by: Hamza Mchuchuri
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...