Lirik

Mmm, yeah, yeah Wa-rah (Leo lion, simba na zombi wa mazombi) we zombie (Leo lion, simba na zombi wa mazombi) haujui? (Leo lion, simba na zombi wa mazombi) we zombie (Leo lion, simba na-) na simba la masimba, Dangote Omalicha, omalicha Ah, ki-wowowo feki unatingisha Unaona sifa, tu misifa We endelea kuzigida, utazilipa We jifanye born hapa (mzaliwa) Na chako tukikitaka (kinaliwa) Mwana nguru bin papa (maziwa) Chapa fululu mi matter (unalia) Kwanza poleni, poleni Nawapa wote poleni Nawatakia poleni Nawasalia poleni Mlioachwa (poleni) Mnaodai (poleni) Msio na baby (poleni) Mkakojoe (kalaleni) Komando, komando, komando Waambie sisi ndio vipensi, komando (Komando, komando) (Waambie sisi ndio vipensi, komando) Komando, sisi komando Waambie sisi ndio vipensi, komando (Komando, komando) (Waambie sisi ndio vipensi, komando) Ka big G, yaani utamu ka big G (eeh) Ka big G, yaani utamu ka big G (eeh) Ka big G (komando sisi komando) yaani utamu ka big G Ka big G (komando, komando) yaani utamu ka big G (Waambie sisi ndio vipensi, komando) Kan'fuma na katoto ka-Tanga Kan'fuma kametoka na kanga ghetto (eeh) Kan'fuma na katoto ka-Tanga Kan'fuma kametoka na kanga ghetto (eeh) Abah tiee (abah tiee), abah wenah (abah wenah) Oh, my queen (oh, my queen), nipe tena (nipe tena) Hapa chini (hapa chini), shuka tena (shuka tena) We una nini? (we una nini?), unahema (unahema) Mchepuko leo nae kasalitiwa (waah) Mke wa mtu sumu kuna maziwa (waah) Kuna maziwa na kutaitiwa (Tiwa Savage) Umealikwa, hujaalikwa We njoo na mpunga patakalika Mashimo yote kanapita Kwenye milima na mabonde panapitika Kwanza poleni, poleni Nawapa wote poleni Nawatakia poleni Nawasalia poleni Mlioachwa (poleni) Mnaodai (poleni) Msio na baby (poleni) Mkakojoe (kalaleni) Komando, komando, komando Waambie sisi ndio vipensi, komando (Komando, komando) (Waambie sisi ndio vipensi, komando) Komando, sisi komando Waambie sisi ndio vipensi, komando (Komando, komando) (Waambie sisi ndio vipensi, komando) Ka big G, yani utamu ka big G (eh) Ka big G, yani utamu ka big G (eh) Ka big G (komando sisi komando) yani utamu ka big G Ka big G (komando, komando) yani utamu ka big G (Waambie sisi ndio vipensi, komando) Kan'fuma na katoto ka-Tanga Kan'fuma kametoka na kanga ghetto (eeh) (Kamix-Lizer)
Writer(s): Diamond Platnumz, George Sixtus Mdemu Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out