Dari
PERFORMING ARTISTS
Lody Music
Acoustic Guitar
COMPOSITION & LYRICS
Lody Music
Songwriter
Lirik
Sio kama siku nyingi Mwaka Jana tu,
Nakumbuka vile tulipendana Tu,
Kabla Hatujatenganishwa na watu,
Mpaka Leo sisi tunagombana tuuuuu...
Unanijia Ndotoniiiiii,
Unanikumbuushaaa Mbaliiiiiii
Naamka sikuoniiiiiii,
Maumivu Ni makaaliiiiii
Natamani nikuoneeee
Nikuuulizeee maswaaliiiii
Mbona mwenzako siponi,
Hata Kunijuliaaa Haaaliii
Bora Figo ziko mbili moyo upo mmoja Hio ndo shidaaa,
Kwako wew tupo wawili kwangu Upo mmoja hio Ndo shida,
Huyu Mwenzenu hanipendi
(Hanipeeendi Hanipeeeendi)
Oneni Hanipendi
(Hanipeendi Hanipeeendi)
Huyu Mwenzenu hanipendi
(Hanipeendi Hanipeendi)
Sa Kwanini Hanipendi....
(Hanipeendi Hanipeeendi)
(instrumentals)
Kwenye sinema yako, umeniweka jambazi lazima nife...
Me kumbukumbu zako, Ndo zinazoniliza unataka nife....
Ninazo namba zako, Endapo nikipiga lazima ziiite,
Hizi message zako, Ndo zinazoniliza unataka nife...
Unanijia Ndotoniiiiii,
Unanikumbuushaaa Mbaliiiiiii
Naamka sikuoniiiiiii,
Maumivu Ni makaaliiiiii
Natamani nikuoneeee
Nikuuulizeee maswaaliiiii
Mbona mwenzako siponi,
Hata Kunijuliaaa Haaaliii
Bora Figo ziko mbili moyo upo mmoja Hio ndo shidaaa, eeee!
Kwako wew tupo wawili kwangu Upo mmoja hio Ndo shida,
Huyu Mwenzenu hanipendi
(Hanipeeendi Hanipeeeendi)
Oneni Hanipendi
(Hanipeendi Hanipeeendi)
Huyu Mwenzenu hanipendi
(Hanipeendi Hanipeendi)
Sa Kwanini Hanipendi....
(Hanipeendi Hanipeeendi)
iiiiiiiiiih eeeeeeh Me Mwenzenu hanipendiii
Lody Music on this one
(instruments)
Written by: Lody Music