Lirik
Oya Masela Eeh Siompaka Niwe Na Gari Ah Oya Majita Eeh Siompaka Niwe Na Nyumba Oya Wanangu Eeh Siompaka Niwe Ferrary
Oya Wazee Kikubwa Niwefiti
Ukinikita Zangu Club Nimelewa Eeeh Nimelewa Hatakama Pombe Ya Lavel Yangu (Mwenzenu Siwaziiii Ukinikuta Nimeshiba Dagaa Eeh Dagaa Yani Nguna Nyanyachungu Viazi Mwenzenu Siwaazi
Olalala Lala Lala Eeeh Lalaaa
Olalala Lala Lala Eeeh Lalaaa
Olalala Lala Lala Eeeh Lalaaa
Olalala Lala Lala Eeeh Lalaaa
Hivi Nilivyo Sasa Eeh Nime Nime Nime
Misina Stress Ya Kodi Nime Nimejipata
Kikubwa Silali Nanjaa Nime Nime Nime
Mwenzenu Naenjoy Nime Nimejipata
Nime Nime Nime
Nime Nimejipata
Ngiyabonga nkosi yam,ngipumelele
I say Danki nkosi yam,ngipumelele
Ngiyabonga nkulukulu,ngipumelele
I say Danko nkosi yam,ngipumelele
Sasa nimejipata,jibaba
Kuna muda nilichakaa,nilisanda
Wakati najisaka,sijajipata
Wana waliona kama nimedata
Right Now
Mi mwenyewe mnyama
Maximum mnyama
Fefe mnyama
Touch mnyama
My whole team wanyama
Na mitaani sio watoto tu
Napendwa na wazee na wamama
Mi mwenyewe mnyama
Maximum mnyama
Fefe mnyama
Touch mnyama
My whole team wanyama
Na mitaani sio watoto tu
Napendwa na wazee na wamama
Olalala Lala Lala Eeeh Lalaaa
Olalala Lala Lala Eeeh Lalaaa
Olalala Lala Lala Eeeh Lalaaa
Olalala Lala Lala Eeeh Lalaaa
Hivi Nilivyo Sasa Eeh Nime Nime Nime
Misina Stress Ya Kodi Nime Nimejipata
Kikubwa Silali Nanjaa Nime Nime Nime
Mwenzenu Naenjoy Nime Nimejipata
Nime Nime Nime
Nime Nimejipata
Written by: Befu Jumaa Mekasy


