Dari
PERFORMING ARTISTS
Darkid
Performer
Jeydrama
Acoustic Guitar
COMPOSITION & LYRICS
Thabit Juma Thabit
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Jeydrama
Producer
Lirik
Mmmh mmh
Ooh ooh!
Aaah aah
Nilikuwa nayasikia Nilikuwa nayasikia tu
Sikudhani kama mapenzi Ndo yanauma kama hivi
Nilikuwa nikiwaona tu watu wanalia
sikudhani kama maumivu yake Yanakuaga hivi
Alikuwa ananiambia mimi ndo furaha yake
Skuizi anafurahi huko na mtu mwengine
Alikuwa anasema kifo kitutenganishe
Sijakufa na kaniacha kaenda kwa mwengine
Alikuwa ananipigia , tulikuwa tunaongea
Alikuwa hawez kulala bila sauti yangu kuisikia
Skuizi nikimpigia anasema namsumbua
Na kuna muda anampa simu baby wake anapoke
Mimi haya mapenzi siyajaribu tena
Nimekoma
najuta hata kuyajua
Nimekoma
Haya mapenzi siyajaribu tena
Nimekoma
Bora ningebaki kuyasikia tu
Unakuta mtu anakuja , anakwambia anakupenda
Na wewe ukishampenda tu Anakuacha anaenda
Anasubiri penzi limenoga Hapo hapo nae anaaga
Unabaki kumuwaza waza tu unalia mpaka unakonda
Na ubaya wa mapenz ukishapenda unakuwa kama chizi
We unaona unampenda ila mwenzako anakuona king\'ang\'anizi
Mapenz mapenz mapenz mabaya
Mapenz mapenz mapenz mabaya
Alikuwa ananipigia , tulikuwa tunaongea
Alikuwa hawez kulala bila sauti yangu kuisikia
Skuizi nikimpigia anasema namsumbua
Na kuna muda anampa simu baby wake anapoke
Mimi haya siyajaribu tena
Nimekoma
najuta hata kuyajua
Nimekoma
Haya mapenzi siyajaribu tena
Nimekoma
Bora ningebaki kuyasikia tu
Written by: Thabit Juma Thabit