Dari
PERFORMING ARTISTS
Darkid
Performer
Thabit Juma Thabit
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Thabit Juma Thabit
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Jeydrama
Producer
Lirik
Maneno ya watu sumu sana
ila hayawezi vunja pendo
Madhali tumeamua kupendana
Hakuna wa kututenga mupenzi
Japo wananiita king\'ang\'a
Wanasema nakung\'ang\'ania
Nimekubali mimi king\'ang\'a kwani kuna ubaya gani
Na wanasema una wapenzi wengine wengi
Mi unaniongopea hata sijali bado nakung\'ang\'ania
Mungu akikuchukua wewe , anichukue na mimi
Siwezi kubaki mwenyewe mimi duniani nafanya nini
Kama ukifa leo mupenzi , kesho nife na mimi
Siwezi kuishi bila wewe mimi , twende ote mbinguni
Nataka niwe kando yako milele daimaa
Laaziz laaziz
Mmmh
Laaziz laaziz
Usiniache hata dakika moja
Laaziz laaziz
Ooh ooh
Laaziz laaziz
Mmmh
Ooh laaziz ooh laaziz
Mnaosema kanipendea nini ? Nitazameni juu mpaka chini
Nimekosa nini mimi , nna kasoro gani ?
Ameacha ote kanichagua mimi , kanipenda kutoka moyoni
Sa mnachukia nini , niacheni jamani
Mnaosema namng\'ang\'ania , nimekubali mimi king\'ang\'a
Ntazidi kumng\'ang\'ania simuachi kufa kuzikana
Mungu akikuchukua wewe , anichukue na mimi
Siwezi kubaki mwenyewe mimi duniani nafanya nini
Kama ukifa leo mupenzi , kesho nife na mimi
Siwezi kuishi bila wewe mimi , twende ote mbinguni
Nataka niwe kando yako milele daimaa
Laaziz laaziz
Mmmh
Laaziz laaziz
Usiniache hata dakika moja
Laaziz laaziz
Ooh ooh
Laaziz laaziz
Mmmh
Ooh laaziz ooh laaziz
Written by: Thabit Juma Thabit