Video Musik

Bwana Ni Mchungaji Wangu (the Lord Is My Shepherd)
Tonton video musik {trackName} dari {artistName}

Ditampilkan Di

Dari

PERFORMING ARTISTS
Soul Influence
Soul Influence
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Reuben Kigame
Reuben Kigame
Songwriter

Lirik

Bwana Ni Mchungaji wangu Sitapungukiwa Kitu, Hulaza kwenye majani mabichi Hunongoza Kwa maji Matulivu Hunihuisha nafsi yangu Huniongoza kwa njia Za Haki Nipitapo bondeni mwa mauti Sitaogopa wewe u nami Hakika wema nazo fadhili Zita nifuata mimi Nitakaa Nyumbani mwa bwana Siku zote za maisaha yangu Gongo lako na Fimbo yako Vinanifariji mimi Huandaa meza mbele yangu Machoni mwa watesi wangu Hakika wema Nazo fadhili zitanifuata Mimi Nitakaa nyumbani mwa Bwana siku zote Za maisha yangu
Writer(s): Reuben Kigame Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out