Testi

Side b beibe!!! Imetoka sawa Haha remix Bugu bugu Bugu bugu Bugu bugu Bugu bugu Bugu bugu 254!!! P-unit Ni designer oriji kutoka China Nimeshika wasupa wengi shinda gyna Sina saa ya kuonyesha kitambi sauna Mapinji kwa keja tuna manaira Aterere reke gwere sina saa ya kuonyesha kitambi sauna (×2) (Hook) Wabe Wabe Wabe Wabe Wabe Wabe Wabe Wabe Wabe Ule kwenye club basi sema wabe Nimekwama kwenye game ka Mugabe Pengine nitapiga tu miaka rwabe Mgenge halisi naishi tu kibabe Nina tudame naita beibee Kisha nikilewa basi tu ni beibe Iko ni napigana daily Ita Buga basi tukamate deide Wabe Wabe Wabe Wabe Wabe Wabe Wabe Wabe Ananimurder murder beibe Ananitaka taka beibe Anaifuata fuata beibe Anaringa anataka me nifuate (×2) Waria ama leijo Maria Hakuna noma hapa bana kufurahia Katia akikataa kuingia tafuta beshte yake pita naye dandia Mgenge me never katia Wasupa kwa kona me nawachapia Na genge bado me nawapatia I'm so dirunk kama mluhyia wa Busia (Hook) Wabe Wabe Wabe Wabe Wabe Wabe Wabe Wabe
Writer(s): Gabriel Kagundu Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out