Testi

Buga mi sipendi mastory (buga mi sipendi mastory) Mami uko fine don't worry (mami uko fine don't worry) Hakuna noma hakuna ngori(ngori eeh) Usijam sana ushike mori You looking fine unakaa better fine My terry ana peperuka(mmmh) Kila fisi anataka kukukuta 'Cause you are so beautiful my girl Lakini unanichanganya beiby Unamachali wengi friendly Sikucheki kila weekendi I gotta feel some jealousy Me nakupenda beiby daily I gotta kiss you beiby daily Lazima nikushow my beiby am so jealous Buga Buga mi sipendi mastory (buga mi sipendi mastory) Mami uko fine don't worry (mami uko fine don't worry) Niko ndani niko powa sina mambo Kata maji and i Love you Wewe ni wangu, mimi ni wako Mimi ni wako oooh. .Niko ndaani... Nilianza taratibu mwendo Nikujue kiundani Pendo lajaa nyingi skendo Unakosa kitu gani Sikutaka fumba macho Wala masikio nisisikie Sio kwa mazuri yako Na mabaya niyashuhudie Eeh Mbosso mi sipendi mastory (mbosso mi sipendi mastory) Kila siku kunifanya mdori (kunifanya mdori) Mambo ya kudanganya na yashaishaga zamanii Kama matuktuk kupelekeshana ndo mapenzi ganii? Mbosso mi sipendi mastory (mbosso mi sipendi mastory) Kila siku kunifanya mdori (kunifanya mdori) Niko ndani nko powa sina mambo Kata maji and i love You Wewe ni wangu, mimi ni wako Mimi ni wako oooh. .Niko ndaani... Tell me something beiby that i don't know. Tabia zako saa za nikeraa Niko ndani nko powq sina mambo Kata maji and i love You Wewe ni wangu, mimi ni wako Mimi ni wako oooh... Niko ndaani... Unanidundisha dundisha Kwa roho yangu Umekosa nini? Unataka nini? Nikupe nini utulie
Writer(s): Peter Ochieng Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out