album cover
Thao
album cover
Thao è stato pubblicato il 11 ottobre 2019 da Universal Music Kenya Limited come parte dell'album Thao - Single
11 ottobre 2019
EtichettaUniversal Music Kenya Limited
BPM100
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia

Video musicale

Video musicale

Testi

Go atrangi makata, chura abaki, heri uwenki na toto uko wiki
Mteke wiki gizani mpige miti, titititi picky titi-titi
Pinji linki mitini kingikingi, zigi-zigi mitini mingi mini
Piki-piki-piki pikipongi, cheki doggy kashorty piga quickie
Chain ori-ori, niko kori-kori, mfuko pori-pori ndo nimejaza kama kori
Ameshika kutu si anakaa fori-fori, shika tori-tori, chezea doli doli
Teka msupa ana mabuibui, unastuka nimekuteka na hunijui-jui
Unataka stingo fulani za magui-gui, ka una swara kuja area nina chui-chui
Nasema dam digidigi mi ni team weekendi, kam hivi-hivi tujikill videadly
Sema dam digidigi mi ni team weekendi, kam hivi-hivi tujikill videadly
Cheki, si dharau chapa nani na thao, si dharau chapa nani na thao
Si dharau chapa nani na thao, si dharau chapa nani na thao
Nakata waba ni-nijifry liver ju sijamanga mi ni kuririma, nikiiva mali, nikiririma, na balaa sina ngale, piga diva dimba
Kitambi ya barley, jo makeki hujipa, wakidhani nina mali na sita sitasita, nina makagare, izame futi sita akivua dungaree
Kitanker keg hadi cham nakunywaa, ni tam-tam, cheki have some kunyuwaa
Kahanjam kakikam mi nakiuwaa, pongi small kama shimo ya mapua
Odi wa Murang'a wanadai niwe wao, madem wao nawanyoroshea kwanza kwao
Ikus zao ni misitu tu ka za Mau, na jegi zao zimesag kama toja zao
Na hivi ndo mi huingia statoe na kajaba, na hivi ndo mi hucheza longo na wamatha
Shosho mang'uru anadai sijui kawada, na zake zimeshika ashameza kajaba
Nasema dam digidigi mi ni team weekendi, kam hivi-hivi tujikill videadly
Sema dam digidigi mi ni team weekendi, kam hivi-hivi tujikill videadly
Cheki, si dharau chapa nani na thao, si dharau chapa nani na thao
Si dharau chapa nani na thao, si dharau chapa nani na thao
Cheki ananibore kwanza za kitore, alafu ananing'orea kwanza za king'ore
Msupa utanichorea nikikupiga ngotea, alafu utaninyorea nikikupiga ndiole
Nikikupiga ndiole, nikikupiga ndiole, msupa utaninyorea nikikupiga ndiole
Nikikupiga ndiole, msupa utaninyorea, msupa utaninyorea nikikupiga ndiole
Maddox, cheki tu mahaga mi nadai kuzikemba, mi nina kiforo kia chwani na spedi ka cheda
Vuta tu makoro na uitishe tu bartender, wachana na hizo haga ushajua ushapenda
Parachichi sidai para ya chichi, nikitichi msupa adai miti, titi-titi, chikichiki
Mbleina apigwe pinji kama dingo akule minji aah, gwiji-gwiji mchezo wa anasa, ama jigi-jigi aah
Nasema dam digidigi mi ni team weekendi, kam hivi-hivi tujikill videadly
Sema dam digidigi mi ni team weekendi, kam hivi-hivi tujikill videadly
Cheki, si dharau chapa nani na thao, si dharau chapa nani na thao
Si dharau chapa nani na thao, si dharau chapa nani na thao
Written by: Edward Kimachu, Francis Macharia, Magix Enga, Rekless, Seska, Swat, Tonny Kinyanjui, Zilla
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...