Testi

Mh yeah (naski tifi tifi) Odi wa Murang'a (Cheki cheki Aisha Aisha, ni nini) (We unaskiaje leo, unaskia?) Naskia zangu zikishuka, ita huyo peddy Naskianga rumours, niko na wengi Maybe Fatuma, maybe ni Njeri Achana tu aha zimeripoti Naskia wah (yei yeah) Naskia weh (fiti) Naskia wih (tifi) Naskia wah Zimeshika wah (yei yeah) Naskia weh (fiti) Naskia wih (tifi) Naskia wah Zimeshika wah Kinpin ndio tu dre naprefer kwa barabara Chingri hunimadia appetite mbaya Mamoshi za makaya zihunifanya nagwaya gwaya Marapper mara kiss kiss, remedial ondoa swara Acha haya, nakugwara (yeah) Acha haya utamwaya (utamwaya) Naku admire meno white ka cover gara (cover gara) Tabia usexy Maria Clara Hii mwaka lazima tutachukua kura Hii mwaka lazima tutapiga kura Msupa mbona unanilap, ama ju niko madoh? Madhe mbona unanihate, ama ju niko mandom? Hii maisha inakuanga joh ni fupi (fupi) Uspochunga itakutoa nduki (nduki) Give my vibe to the realest uri Live your life to the fullest uwii Naski ana mood swings niko matingting Maybe ma cookies, tuko makuti Toka kehuti msupa ni nyuki Amenifanya chupri na nilimjua juzi (juzi) Wah, si hii dunia ikepasuka Wah, si adi hapa utasukwa Wah, ndio aende kusuka Wah, alafu itafikia hao mafupa Amepanda bei ju ya hali ya uchumi Na kumbe ye hajui mi hukuanga mrui Anashow maringo na maenifichia uchi Na chini ya pillow ndio si huficha udi Wah hehehehehe Wih hehehehehe Woh hehehehehe Wuh hehehehehe Naskia wah (yei yeah) Naskia weh (fiti) Naskia wih (tifi) Naskia wah Zimeshika wah (yei yeah) Naskia wah (sweetie ai sweetie) Naskia wih (sweetie ai sweetie) Naskia wah (sweetie ai sweetie) Zimeshika wah Nilipuke nimekunywa chai moto Zimeripoti, zimeritipo Zimeningwada walai zimenishika Sai niko na taki naona mzinga kwa depo Zimeniraru sitambui mambaru Hi mwaka ni kujituma ka slippers sura mbaya Niko mavitu zimenishika, zimeripoti walai zimeritipo Pull up weekend ukispin tikitiki Tuko chingri bizibizi Leta bag zigizigi, na machweda Na machweda ngoko namteka Pita hizo 'tepa kepa spender Kama grader leta, tuko tings matings (walai) Naskia wah (yei yeah) Naskia weh (fiti) Naskia wih (tifi) Naskia wah Zimeshika wah (yei yeah) Naskia weh (fiti) Naskia wih (tifi) Naskia wah Zimeshika wah (yei yeah)
Writer(s): Tony Kinyanjui, Francis Macharia, Edward Kimachu Irungu Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out