album cover
Nabembea
21.377
Music
Nabembea è stato pubblicato il 31 agosto 2017 da Slide Digital come parte dell'album Nabembea - Single
album cover
Data di uscita31 agosto 2017
EtichettaSlide Digital
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia
BPM96

Video musicale

Video musicale

Testi

Imma Ze boi on da beat
mbona naona nashindwa kuacha macho yapambane na hali yangu
maana imani nayo inatakaa
mawazo yanishinda kujenga choyo kuzuia nisihisi hisia zake
majaribu nayo yananifata
kuna vidudu vyenye mvua ndo nikuambie labda
kuna nyakati natamani kujikuna mgongoni sifikii
na baridi ikija mvua haisomagi radar
ndo maana natamani kukuonaga tena
nataka kuthubutu kukupa wazozuri nikikumbuka maumivu nafsi inasita
mi kwanza sifuri
bado najishuku kutengua kauli
acha niweze nitafute kesho saa sita
nipoje sijui sijielewi
bado na bembea
Sipo juu sipo chini nipo hewani (Nabembea)
Kupenda natamani ila naogopa (Bado nabembea) ×2
Mwenzako silali kutwa napekua jumbe kwenye kimeo
mchezo wa mapenzi kamariiiii
nimeumbwa na dosariii
kupumbazwa si shangai leo
Japo nasifa hodariiii
Nyama kama lainii
ila kisu naona butu
Nikiwaza figirisi mainii
Nayawaza masupu supu
Nataka kuthubutu kukupa wazo zuri nikikumbuka maumivu nafsi inasita
mi kwanza sifuriiii
Bado najishukuu kutengua kauli
acha niwaze ntafute kesho saa sita
nipoje sijui sijielewii
Bado nabembea
sipo juu sipo chini nipo hewani
Nabembea
kupenda natamani ila naogopa
bado nabembea ×2
Written by: Dotto Bernard
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...