Testi

Peng ni Ayela na geng ilimnyora design ya nyara nyara nyara Mraa tunairun bila haya Na gat ni kilalio ya jana Joke's on you mnatupima, liars manze hio ni nini mnafanya? Mavedi walipumua fire (ha) Exactly niliwadanganya Warazi walipumua fire (ha) Exactly niliwadanganya Peng ni Ayela na geng ilimnyora design ya nyara nyara nyara Mavedi walipumua fire (ha) Exactly niliwadanganya Warazi walipumua fire (ha) Exactly niliwadanganya Nine months unatry kudeliver hatukuonei huruma huko unless una mimba Ngwai East imepeleka vijana wengi Inda it's high time Kenya ikuwe legal Ni heri uangushe kinde CBD njoka wako rada ukikojoa watakushika Mister, at least try jo kubehave staki damu imwagikie my linen t-shirt Naskia mnanitafuta, mpaka mnanifuata kwa duka Stepper, mi hukanyaga kubwa ukikuja sana perhaps utakulwa Unafaa kujua nani ndo kushuta before kunukisha hii mtaa unaeza juta Mbepa si hufungia gunga hakuna ni Sunday mzae jo amefunga Me huflip ka beats za Afrika niliwaachia hiphop sikuizi Man-a-Driller Mabiz za mpini si hupiga kwani si ata judge alipardon killer Splash splash tukifika itoke inaspark ma opp wanaitika Trap trap to saa tisa ni mboka nilikuwa hapo hio jogoo ikiwika Nimeona Subri ikinipita I think kwa hio rounda scene ilipigwa Bruce iliskika, street iliwika, Black alikam akanyambisa Naskia mi mchafu spitter ni ka me huandika hizo ngoma kwa pipa Kudus informer though hakunipata nilikuwa naoperate na beeper Peng ni Ayela na geng ilimnyora design ya nyara nyara nyara Mraa tunairun bila haya Na gat ni kilalio ya jana Joke's on you mnatupima, liars manze hio ni nini mnafanya? Mavedi walipumua fire (ha) Exactly niliwadanganya Warazi walipumua fire (ha) Exactly niliwadanganya Peng ni Ayela na geng ilimnyora design ya nyara nyara nyara Mavedi walipumua fire (ha) Exactly niliwadanganya Warazi walipumua fire (ha) Exactly niliwadanganya Kuna vile Covid naitii kitu moja Daily, coro 19 nilinona Cyber ronging different locations wolan tunaidoingi normal Fake kings nazidi kuwawinda Ka ulidhani hio ndio ilikuwa mechi gwan hii ndio dimba Peng ni ayela, msupuu Mans na Domani naishi life bila filters Sina hadi maarifa Mi nilidhani shore nilikuwa nabonga naye insta ni Risper Nikihama me huenda na kamba za nguo I wish ningekuwa KPLC Arif alikua MCA Sai ni MP anarepingi Westie Sikumeet huyo msichana (no,no) Nilidate hio vagina Ndoch una manzi ndechu Ushai mwanikanga kwa mneti, apana I was high school ManADriller Tangu enzi za Insyder Nina ndoto za maziwa mrefu Inaweza lipa debts zote za Mchina Watch what you're talking kwa pods timeline yako inatick-tock Nina maboys Kise huko Ngong walipanua riko sai wanamanifacture Richot Peng ni Ayela na geng ilimnyora design ya nyara nyara nyara Mraa tunairun bila haya Na gat ni kilalio ya jana Joke's on you mnatupima, liars manze hio ni nini mnafanya Mavedi walipumua fire Exactly niliwadanganya Warazi walipumua fire Exactly niliwadanganya Peng ni Ayela na geng ilimnyora design ya nyara nyara nyara Mavedi walipumua fire Exactly niliwadanganya Warazi walipumua fire Exactly niliwadanganya For real Heri nitoke siezi kukutusi Twitter mimi OCS OCS alisema tupotee na tusiwai rudi mjini Wananiita Dangote, na me sijui kwa nini Nyong'inyo zangu zinatee sivui viatu nikiwa kwako mimi Tenje ipotee nishakuwa Houdini Sanse atokee hii ngwai haizimwi Mi sinanga fee bado najiamini When you see me better #easy Deep down they wanna be me Hii mtaa chini ya maji niko na dini Rhyme Gym Rong Rende ndani ya building Combine kila rapper Kenya ndio unimake mimi Wakiniona ni rizla na ganja Nikishawachoma girimba narambwa Mama mboga anachezanga na rada Alinicall akanishow, "safisha, unasakwa" Ju nina niggas waliiba na Ali Baba Napandishanga middle finger kwa media na cover Jana walikosa riba na rada ilikuanga ni mchana wakikimbiza mambanga Sio easy getting this shilling Me na bro kitchen we be distilling Yeah I told you if you see him, you see me I was not there but he gave you the same feeling Undercover Google search Undercover msupa cheza bubu tukifuck Ka anakanja crew inakam Wakiletaga ujanja crew inakam kuburn
Writer(s): Churchill Oganga Mandela, David John Munga, Salim Ali Tangut Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out