Testi

Big Beats Afriq For real Mbona ni nyinyi nawawasha Nikikula nyama choma tufirifiri na Tusker Bro amejituma ako kazini anaisaka But anajua bibi yake anafanya nini Naivasha? Woi! Aki si Kenya kuna content Nashindwa nidunge chain gani so nazidunga zote Anataka nimwage ndani mi namwaga kwa matope Si hubonga kilami tukitaka ganji itoke Normally shembeteng, ma molly kwa Heineken When am me, you're my friend We got rich in the ends Tulimtupa kwa boot si tulimtrace na magun Ka huamini tuko lose ulize aling'am Si ni maburglar for sure na hii si siri Balaclava huezi nijua kwa CCTV Bro nikimwambia haskii na ye' si kiziwi Ka si biz utanipata nimesare sikimbizwi Kuna pahali nafaa kuenda na ni sahii Speed flani shwaa, boxer Kawasaki Njege masanse hawatutaki Ka hunitambui sikutambui Wazing wako na waks ka unang'am,na mawaks ka unang'am Na mawaks ka unang'am, na una Wazing wako na waks ka unang'am Na mawaks ka unang'am Na mawaks ka unang'am, na una Bora na waks wathara Ukikwara askari wa msitu giz ni kukimbiza maswara After masjid masti ikilost Easich wazing tunapiga baroda na kigwara Tumbo yoyoto mpoa yazil lombotost Hizo mangoto six feet deep, deep ni vile alimarwa Homeboyz hapana taka mchezo ati nahama Tomboys bomboclaat bado unazimarwa Baroda sarе kindipi tukishoot hizo masaa Minus warazi tuna-addingi ma ombre Sitaki news joh mheshimiwa kuliеndaje tena jamaa? Divide makazi zi-times-ingi to the jobless What about QCCBs? How about Gen Z how about that? What about QCCBs? How about Gen Z how about that? Kuna pahali nafaa kwenda na ni sahii Speed flani shwaa, boxer Kawasaki Njege masanse hawatutaki Ka hunitambui sikutambui Wazing wako na waks ka unang'am,na mawaks ka unang'am Na mawaks ka unang'am, na una Wazing wako na waks ka unang'am Na mawaks ka unang'am Yo, tunadrip design tumekuwa maplumber Tunabeef joh, sidhani ka mtaezana Labda p-stock ama kofi ka ya Anan Pigia Skillo tuchukue maskan ka za das Mi ni pro kwa hii shit si ati najigas Kuna bro amejipinkia AP na ngiwap Mili yangu ya kwanza nilishikanga nikirap Tuko waks kushinda biz wera imetugeuza wasps Moshi moja ya pili ya utat na unakuf kuf Tuko holy masoldier, matroop na ma crew crew Unang'am? Unang'am? Uli-ulidai ati una kitu na Una makali na graph yetu inaimprove Speed flani Kawasaki nikikam through Kama lightning, tukijam ni kustrike tu Kuthigitha warazi ndo kitu si hu-do Kuna pahali nafaa kuenda na ni sahii Speed flani shwaa, boxer Kawasaki Njege masanse hawatutaki Ka hunitambui sikutambui Wazing wako na waks ka unang'am,na mawaks ka unang'am Na mawaks ka unang'am, na una Wazing wako na waks ka unang'am Na mawaks ka unang'am, na una Wazing wako na waks ka unang'am Na mawaks ka unang'am Na mawaks ka unang'am, na una Wazing wako na waks ka unang'am Na mawaks ka unang'am Na mawaks ka unang'am, na una
Writer(s): Alvin Handro, Salim Ali Tangut, David Munga Ramadhan, Churchill Mandela Ogana Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out