Testi

Masauti Kenyan boy Khaligraph Jones its going down Yaaani toto kiboko Yaaani toto kiboko Yaaani toto kiboko Eeey napenda venye unavyodunda Ukitembea unafanya nikutake take Kweli Mola kakuumba unateketea Vile uko lit lazima nikukate Sijui ka uko na copy(eeh) Ya mimi ni nani Mitaani waniita OG Unataka vipi Atoti Iko vipi Kwani we ni mgeni hapa Nairobi Na jinsi anavyo ligidi ligidi Kana kwamba anaifanya ka digiri ana digiri Ukichikidi chikidi ana digidi digidi Mashore wengine sai ni TBT TBT (sareee) Mtoto kiboko Eeh ahh kiboko Huyu mtoto Kiboko kiboko yaani kiboko Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani Kiboko Nitadunga suti na tai Nimfwate nimnong'oneze Nimwambie ye ndo nadai Ananipa mi mawenge (hello Shawty) Toto la kinai roho body Uswazi kote ye ndo ametawala Sioni noma yaani mbona soul body Akinipa sikatai mimi nakwala Figure kama mjaka Yaani balaa nyuma vigirigi Kwa shanga kiunoni nasimama Wima mpaka alfajiri Figure kama mjaka Yaani balaa nyuma vigirigi Kwa shanga kiunoni nasimama Wima mpaka alfajiri Mtoto high class Nywele singa singa kimahaga (ni mkare) Yaani working class bila kusita nang'oa nanga Yaani mtoto high class Nywele singa singa kimahaga (ni mkare) Yaani working class bila kusita nang'oa nanga (si usaree) Mtoto kiboko Eeh ahh kiboko Huu mtoto kiboko kiboko yaani kiboko Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko Check it ee ju already tusha nokiana Lenga huyo boy ata moti hana We ni kiboko tunaeza sosiana So go ahead and bust it down thotiana Ey we ndo kiboko Kuja international toka local Am the hottest rapper right now kwa soko And rich too bad boy si msoto Haha oooh lord you entice me And me backing down so unlikely No sidechiq I'll make you my wifey Masauti vipi they can't do it like we Unavyo Katika Shiro Nyuma ulivyoshona Doro Nikikupata kwa godoro (Hhmm weeh kibokooo) Unavyo Katika Shiro Nyuma ulivyoshona Doro Nikikupata kwa godoro (Hhmm mama kibokooo) Ye! Ye! Ye! Yaani kiboko Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani Kiboko
Writer(s): Morris Kobia Lyria Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out