Testi

(Run di record) (London, London, London, London...) (It's your favorite boy, Cashkid on the track) Haka ka-dame kazuri joh kako vero Kisham-sham kinyam kitam-tam Shuka na ngeus siezi mind ata kapedo Dame ni kafupi kanapenda magendo Ngoma ni kali uliza Makurutu gang gang Imebaki shangwe, kelele na nderemo (wueh!) Shamra-shamra kelele na nderemo (ayayaya!) Shamra shamra kelele na nderemo (wueh!) Kisham-sham kinyam kitam shamra-sham Kisham-sham kelele na nderemo (oo-wee!) Kisham-sham kinyam kitam shamra-sham Kisham-sham kelele na nderemo (ayayaya!) Sherehe ni major tumekuja adi na tumbler (oo-wee!) Na tulibeba Mejja yule alifanya Bablas Mbuzi ndio rende tunaroga adi wakamba Ole kitanda, ole-ole kandanda (waah!) Tingisha kichwa na kisha kamwage dandruff Kingfisher na picha ashaanza piga lap (waah!) Snap, snap sa nadai kujip- Yap, yap, tei then tupige nap (ayayaya!) Haka ka-dame kazuri joh kako vero Kisham-sham kinyam kitam-tam Shuka na ngeus siezi mind ata kapedo Dame ni kafupi kanapenda magendo Ngoma ni kali uliza Makurutu gang gang Imebaki shangwe, kelele na nderemo (wueh!) Shamra-shamra kelele na nderemo (ayayaya!) Shamra shamra kelele na nderemo (wueh!) Kisham-sham kinyam kitam shamra-sham Kisham-sham kelele na nderemo (oo-wee!) Kisham-sham kinyam kitam shamra-sham Kisham-sham kelele na nderemo (ayayaya!) Pesa sabuni ya roho inafanya mi nik- Bash nawekea minyoo nakata maji Kinoo Mapenzi mi huwanga dingo Nyoka irudi kwa shimo Luku ni fly ding'o inapiga Simple Stivo na (ayayaya!) Mi huwa sijali Sijali ka una chali Naeza pita na wewe bila ata tafadhali Daily niko majani mbuzi yukuwa angani Mi hunyonga tai tu za monkey apa sidhani (wah!) Haka ka-dame kazuri joh kako vero Kisham-sham kinyam kitam-tam Shuka na ngeus siezi mind ata kapedo Dame ni kafupi kanapenda magendo Ngoma ni kali uliza Makurutu gang gang Imebaki shangwe, kelele na nderemo (wueh!) Shamra-shamra kelele na nderemo (ayayaya!) Shamra shamra kelele na nderemo (wueh!) Kisham-sham kinyam kitam shamra-sham (Okonkwo) Kisham-sham kelele na nderemo (oo-wee!) Kisham-sham kinyam kitam shamra-sham Kisham-sham kelele na nderemo (ayayaya!) Nijaje msupa? Niaje? Niko na talent Kaa gani? Naeza fungua bra na mkono moja Unataka kuona? Siwezi mind Okay, keti chini, uh, geuka hivi, uh Wacha ncheze kaa mimi na ulimi, aah Usitoe ntakuchapa na hiyo mini, eh Chali yako kwa simu kelele (wah!) Chali yako ni stress ye ni msenge (mm) Mpige block tupige sherehe (haha) Usilie mamii skiza Magenge Ntakutoa stress na ni kupunguzie nyege Haka ka-dame kazuri joh kako vero (haha) Kisham-sham kinyam kitam-tam Shuka na ngeus siezi mind ata kapedo Dame ni kafupi kanapenda magendo Ngoma ni kali uliza Makurutu gang gang Imebaki shangwe, kelele na nderemo (wueh!) Shamra-shamra kelele na nderemo (ayayaya!) Shamra shamra kelele na nderemo (wueh!) (Oo-oo!) (It's yo' favorite boy, Cashkid on the track) (Ayayaya!)
Writer(s): Mike Makori, Moses Otieno, Joseph Getugi Nyamweya Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out