album cover
Tena
album cover
Tena è stato pubblicato il 19 novembre 2021 da Still Alive Productions/TML come parte dell'album Victory
AlbumVictory
19 novembre 2021
EtichettaStill Alive Productions/TML
BPM96
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia

Video musicale

Video musicale

Testi

[Verse 1]
Kuna vile Mungu, akitaka kufanya jambo na wewe, ni lazima akufunze eh
Kuna vile Mungu, akitaka kufanya kazi na wewe, ni lazima akufunze
Moyo wa binadamu, ni mdanganyifu sana, ila Mungu ni wa kwelii
Darasa la Mungu, uchungu kwa binadamu, ila mwisho utukufu
[Chorus]
Ninajua ni kwa muda (Tena) utainuka (Tena), utatembea (Tena) ni wakati wako
Ninajua ni kwa muda (Tena) utainuka (Tena), utatembea (Tena) ni wakati wako
[Verse 2]
Misukosuko safarini, zisikuvunye moyo, ni darasa unapita utashinda
Hata mawimbi baharini zisikatize safari yako, atatuliza dhurubaa
Mwamini tu, aliyeanza na wewe, ni mwaminifu kumalizia
[Verse 3]
Ni funzo tu, ni darasa unapitia, asubuhi ya karibia
[Chorus]
Tena na tena na tena (Tena) utainuka (Tena) utatembea (Tena) ni wakati wako

Najua ni kwa muda (Tena) utainuka (Tena) utatembea (Tena) ni wakati wako
Najua ni kwa muda (Tena) utainuka (Tena) utatembea (Tena) ni wakati wako
Written by: Guardian Angel, Timothy Boikwa
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...