album cover
Nyundo
album cover
Nyundo è stato pubblicato il 1 gennaio 2014 da Red Springs Records come parte dell'album Nyundo
AlbumNyundo
1 gennaio 2014
EtichettaRed Springs Records
BPM
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia

Video musicale

Video musicale

Testi

[Verse 1]
Nilikua kwenye halaiki Yesu alipokufa
Nikamuona alivyoning'inia Mwokozi wangu
Nikaliona taji la miba, na vijito vya damu yake
Huyu ndiye tabibu wetu
Sasa mmemfanyia nini
Nikajitosa miguuni na kwa hasira nikaita
[Chorus]
Ni nani kamtundika hapo juu, mtoto wa amani?
Ni nani kamtundika hapo juu?
Jitokeze unikabili
Ni nani kamtundika hapo juu?
Na halaiki ikanichekelea nikageuka
Nikaiona nyundo mkononi mwangu
Ni nani kamtundika hapo juu mtoto wa amani?
Ni nani kamtundika hapo juu?
Jitokeze unikabili
Ni nani kamtundika hapo juu?
Na halaiki ikanichekelea nikageuka
Nikaiona nyundo mkononi mwangu
[Verse 2]
Mimi mwanajeshi wa Kirumi, mtu wa kawaida
Nina mpenzi na watoto wangu
Najikaza tu ni vipi ningemuua Yesu?
Kweli kuna mtu mwingine
Siwezi beba hizo lawama
Kuna kuchanganyikiwa hapa siwezi kuwa mshukiwa
Ni lazima mniambie ni nani kamtundika hapo juu
[Chorus]
Mtoto wa amani?
Ni nani kamtundika hapo juu?
Jitokeze unikabili
Ni nani kamtundika hapo juu?
Na halaiki ikanichekelea nikageuka
Nikaiona nyundo mkononi mwangu
Ni nani kamtundika hapo juu mtoto wa amani?
Ni nani kamtundika hapo juu?
Jitokeze unikabili
Ni nani kamtundika hapo juu?
Na halaiki ikanichekelea nikageuka
Nikaiona ni mimi niliyemtundika juu mtoto wa amani
[Verse 3]
Ni mimi niliyemtundika juu ndimi mshukiwa mkuu
Ni mimi niliyemtundika juu kwa dhambi hata na maasi yangu
Mwenye imani ninapoasi nampiga nyundo tena
Ni mimi niliyemtundika juu mtoto wa amani

Written by: Pillars of Faith Ministers
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...