Testi

Haa Ha(Pozze)- Haa Michezo yako kinasty nasty Biggy biggy heavy heavy Mama mimi napendaga Uuaaahhoo Ulivyoshona konongo nongo Ukidunga sketi alafu uname chini Unanimaliza mmh Ukifunga dera unanimaliza Michezo ya chumbani, oi nakufa Unanimaliza ooh mama Wewe ni, my sugar sukari Ulivyozidi utamu, nikuite asali To-to-to mama To-to Toto mama To-to-to mama To-to Toto mama Hey hey toto toto Unanimada toto ooh, hey toto Oh toto toto-oh to Hey hey toto toto Unanimada toto oh, hey toto Una siri gani hapo kwa mauno Mtoto wa Salome anamwaga mpaka bone marrow Hey baby Au labda unatumia annointing oil vibaya Coz unavyorombosa kwa paja rombosa Sijawai ona Toto uko heavy nibebe bebe Nizame topeni nigware gware Si mi ndiye fundi wa kuchelewesha Bwana slow motion Na wazee wa boma Walishasema ni we mama lao Basi mi ndio baba lao (Oooh yaga yaaah) Na wazee wa boma Walishasema ni we mama lao Heeyy!! Basi mi ndio baba lao (Baby) To-to-to mama To-to toto mama To-to-to mama To-to toto mama Hey hey toto toto Unanimada toto ooh, hey toto Oh toto toto-oh to Hey hey toto toto Unanimada toto ooh, hey toto Hey hey toto toto Unanimada toto ooh, hey toto Oh toto toto-oh to Hey hey toto toto Unanimada toto ooh, hey toto
Writer(s): Wilson Abubakar Radido Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out