Testi

Keeping good music alive that is my job My sunshine my moonlight and everything i dream about Linah let's go () Yalaiti napenda pasi kifani, Tofauti sikutilii moyoni Sikuachi leo na kesho peponi Aaa aaa aa i love you (repeat) (Verse 1) Sambaza love kama dawa sikuachi mpaka napagawa Watu Wakisema me siwagusi natingisha kichwa Mapenzi yako yanielemea kama chupa nzima ya tequilla Si ulishasomwa nakupenda acha masihara Kuna aja gani nikushikie fimbo ili nikusikilza kama gorrila Me mtu na mapenz yangu nmeshaaja zaman usela Una matatizo yako najua Na me yangu boo With u together from this moment We will sue them through Nikukosea nisute, nipige vibao nizodoe, Ninunie kwa siku kadhaa ila nachokuomba usinikimbie Mapenzi hatamu me kwangu hadithi mambo ya kizamani hayo Ukiniudhi ntakupiga kwa kanga ndo nilivyofunzwa Tanga ivyo Toaga mabusu nikufute kwa kumbatio mpk tamu kwa kiss ya pili Ukinikumbuka iwe kilio Sipendi mapenzi napenda mapenzi nawe usinikatae utaniumiza me na Biashara na wewe Repeat() (Verse 2) Nshasema Sipendi mapenzi napenda mapenzi nawe Usinikatae utaniumiza me na biashara na wewe Ushaangaliwa niunge tela Usingoje mpaka uambiwe Ushaangukiwa anguka nawe usizubae mpaka irejewe Kwako ntakuwa Bushoke sitajiulza ka zezeta Yatoe mahaba mapenzi amani tumepita Me sakafuni we ukingoni mbio zangu haziendi mbali Na moyo wangu nitapenda bila kujali Hata marefa wana timu zao mama Hupanga matokeo Pambano lianze Washajua goli ngapi ngapi leo Husiache kuvaa nguo ndefu hivi vimini waachie vicheche Mwanamke kwetu staa hatuna tupendao sio wote Akili haziwezi moyo na wenyewe una ubongo pia hauwezi kufuata fuata Kila utakachouambia Nahitaji yako mapenzi Napata picha yako kwanza Natamani upate yangu nayo iwe inakuliwaza (Bridge) Linah: toa shaka na wasiwasi moyoni*2(ay: mashalaah) Kukuepuka ilo haliwezekani Ntakushika leo na kesho peponi Repeat()
Writer(s): Hamis Mohamed Mwinjuma Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out