Testi

MwanaFA Faaalsafaa Falsafa Hommie Samaa Are you listening? Bonge la mtoto bonge la zigo Naamini sioti coz naipenda hii ndoto Sitoi boko na naamini hayuko soko Ntamvisha pete leo leo Sio wa mchezo ka kazi ya kwenye video Ananikaanga roho ananisaga moyo Sipo sawa akili imevurugwa nayo Nilikuwa poa tu kabla hatujakutana Gangster kama mimi hakuna Hana wasiwasi anatembea kama hataki,anajivuuta na kila hatua ina nukta Kiuno cha nyege rangi ya kinugu Nashangaa maujuzi ya Mungu Hakuna kovu hakuna sugu Maswali bila ya majibu So unafanya nionekane chizi Hata sielewi nini la kufanya Akili hazifanyi ka zimekufa ganzi Hata sielewi naona nyota mamaa Where you coming from? Hata Sielewi Sielewi Where you coming from? Hata Sielewi Sielewi Sielewi Sielewi Eeh,Eeh Sielewi Sielewi Eeh,Eeeh II; Sielewi lugha nyingine Macho yamegoma hayaoni kiumbe mwingine Huyu ntakopa ntaazima ila lazima Ninyooshe mji mzima Acha moyo unibebe unipeleke unapotaka Ntarudi siku ukitaka Im all in,Im fallin' Maskio yataniziba akiniita darling Moyo unanienda mbio,naisoma namba Mwili mlaini utasema aliumbwa kwa pamba Hana chale hana shanga Mimacho imentoka ile kishamba Sina hakika ni chiicha au ganja za zamani Ila ana siifa za kuitwa mwandani Tuchangie shuka,tuchangie majina Nimshike mkono niende nae dunia nzima So unafanya nionekane chizi Hata sielewi nini la kufanya Akili hazifanyi ka zimekufa ganzi Hata sielewi naona nyota mamaa Where you coming from? Hata Sielewi Sielewi Where you coming from? Hata Sielewi Sielewi MAUA; Umetokea wapi kwani? Na umetumwa na nani? Umekuja na uganga wa wapi? Nilikuwa sawa kabla sijakutia machoni Sielewi Sielewi Eeh,Eeh Sielewi Sielewi Eeiiih,Eeeh So unafanya nionekane chizi Hata sielewi nini la kufanya Akili hazifanyi ka zimekufa ganzi Hata sielewi naona nyota mamaa Where you coming from? Hata Sielewi Sielewi Where you coming from? Hata Sielewi Sielewi Hata Sielewi naona nyota mamaa Hata Sielewi naona nyota mamaa
Writer(s): Hamis Mohamed Mwinjuma Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out