Testi

Smile yako nare (nare) Urembo wako nare (nare) Kila kitu nare (nare) nare Mamacita sinyorita margarita Toto kwa baridi nipe joto Nikilala we ndo ndoto Mi wako mtoto Aaaah toto joto Kwa baridi nipe joto Nikilala we ndo ndoto Mi wako mtoto We ndo mtamu mtamu tu We ndo mtamu mtamu tu We ndo mtamu mtamu tu We ndo mtamu mtamu tu We ndo mtamu mtamu tu We ndo mtamu mtamu tu Aaaah sikujua kupendwa hivi raha Sikujua yananoga hivi na Umechukua akili yangu dah Ukiniacha wallahi mi kichaa Uuuh umenipa nini mbona Umenipendelea mimi Uuuh hata siamini mahaba yote Haya yangu mimi Aibu yao hao Walosema tutaachana hao Ndo kwanza tunapendana hao Inawauma sana Aibu yao haoooo Walisema ntaachika hao Ona wanadhalilika hao Raha anazonipa Baby wangu mtamu We ndo mtamu mtamu tu We ndo mtamu mtamu tu We ndo mtamu mtamu tu We ndo mtamu mtamu tu We ndo mtamu mtamu tu Nitaleta zawadi mama i swear Nitaleta maua mama Nitaleta zawadi mama i swear Nitaleta maua mama Toto joto Kwa baridi nipe joto Nikilala we ndo ndoto Mi wako mtoto Aaaah toto joto Kwa baridi nipe joto Nikilala we ndo ndoto Mi wako mtoto Smile yako nare (nare) Urembo wako nare (nare) Kila kitu nare (nare) nare
Writer(s): Raymond Shaban Mwakyusa Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out