Crediti
PERFORMING ARTISTS
Hamis Bss
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Hamis Bss
Songwriter
Testi
Mwenzenu Nina habari NGoja niwasimulie.
Hali yangu Sasa shwari Acha niwasimulie.
Yameninogea Mapenzi Nashindwa kujizuia.
Nimesha sahau simanzi sikumbuki kulia Lia.
Nachanganyiwa uondo sambusa Achali.
Na haishiwi vishindo mtoto hodari.
Namuita mwana mitindo Ile machachari.
Anichezesha msondo sindimba zumali.
Nimekamatwa.
Nimekamatwa.
Nimekamatwa Na Mapenzi.
Nimekamatwa.
Nimekamatwa.
Nimekamatwa Sijiwezi.
Ana nikanda na siagi Mgongo mgongo.
Ananichua kwa masaji ubongo ubongo.
Na siwahofii mahasidi waongo waongo.
Ana nipandisha midadi bila mkongo mkongo.
Mwenzenu nimezoea chai ya iriki.
Bila mboga mboga mimea chakula hakipiti.
Na anavyojidekea siachi kijiti.
Hakika nimemuotea nimeipata riziki.
Mpaka najisahau najiona Amita barchan.
Hana dharau ameshanifika moyoni.
Sasa angalau nimeshawasahau wa zamani.
Biriani pilau yaani vimaji juice kwa pembeni
Nimekamatwa.
Nimekamatwa.
Nimekamatwa Na Mapenzi.
Written by: Hamis Bss