album cover
Emmanuel
album cover
00:00
00:10
00:30
00:45
00:50
00:55
01:00
01:15
01:20
01:45
01:55
02:00
02:15
02:20
02:25
02:40
02:45
02:50
02:55
03:05
03:15
03:20
03:45
03:50
03:55
04:05
04:40
04:45
05:40
06:10
06:15
06:35
06:40
06:45
06:50
07:05
07:35
00:00
07:44
Ultimi 7 giorni
Emmanuel è stata scoperta più frequentemente a circa 3 minuti and 15 secondi dall'inizio la canzone durante la settimana passata

Testi

Kwa upande wako, nitasimama imara
Hata marafiki wanitenge
Kila mahali nitazungukwa na neema
Nitazidiwa na nyimbo za sifa
Nimeona (kwa mbali) waliopondwa (kwa mbali)
Wamerejeshwa tena
Waliochoka hupata nguvu mpya
Roho tasa iliokolewa kwa pumzi yako takatifu
Kwa kila ajabu ulilotenda (tenda-ah)
Niliona sababu za kukuabudu (abudu)
Kwenye kila chozi ulilofuta (futa-ah)
Kuna ishara ya ukuu wako (yoh, yoh, yoh)
Ukiishi nami, Yesu
Nimwogope nani, Yesu
Askari wangu hodari
Ukiishi nami, Yesu
Nimwogope nani, Yesu
Askari wangu hodari
(Bila masharti) bila masharti ulinichagua
(Ulinipenda) ulinipenda jinsi nilivyokuwa, Emmanuel
Siwezije kuhisi kubarikiwa, kwa neema yako kubwa, uliyomimina
Bila masharti ulinichagua
(Ulinipenda) ulinipenda jinsi nilivyokuwa, Emmanuel
Siwezije kuhisi kubarikiwa kwa neema yako kubwa uliyomimina kwa juu yangu
(Oh-oh-oh-oh) niligonga mlango
(Oh-oh-oh-oh) ukanifungulia
(Oh-oh-oh-oh-oh) I will Glorify you
I go lift you high, kwa uhuru nimepata
Umekaa nami katika dhoruba (dhoruba, dhoruba)
Kupitia moto tumekuwa pamoja (pamoja, pamoja)
Mioyo yetu ilijaliwa na woga
Huruma yako ikanikomboa
Upendo wako ni ngao yangu
Golliati atanizoea
Ushindi wako ni fahari yangu
Fimbo yako inaniongoza
Mwanakondoo mwenye miujiza
Ushindi wako ni fahari yanguu, uh-uh-uh
Kwa kila ajabu ulilotenda
Niliona sababu za kukuabudu (abudu)
Kwenye kila chozi ulilofuta
Kuna ishara ya ukuu wako
(Ukiishi nami) ukiishi nami, Yesu
Nimwogope nani, Yesu
Askari wangu hodari
Ukiishi nami, Yesu
Nimwogope nani, Yesu
Askari wangu hodari
(Bila masharti) bila masharti ulinichagua
(Ulinipenda tu) ulinipenda jinsi nilivyokuwa, Emmanuel
Siwezije kuhisi kubarikiwa, kwa neema yako kubwa, uliyomimina (uliyomimina ah, yeah)
Bila masharti ulinichagua (hey yeah)
Ulinipenda jinsi nilivyokuwa, Emmanuel
Siwezije kuhisi kubarikiwa kwa neema yako kubwa uliyomimina (ah-ah) kwa juu yangu
(Oh-oh-oh-oh) niligonga mlango
(Oh-oh-oh-oh) ukanifungulia
(Oh-oh-oh-oh-oh) I will glorify you
I go lift you high
Kwa uhuru nimepata
Mkombozi wangu, mfalme wangu
Pokea sifa, pokea sifa
Kwa pleasure na sorrow through every hollow
I will always walk in the steps you called me to follow
Katika kila tatizo iwe kubwa au dogo, nitaweka imani yangu yote kwako
Kwa pleasure na sorrow through every hollow
I will always walk in the steps you called me to follow
Katika kila tatizo iwe kubwa au dogo, nitaweka imani yangu yote kwako
Pleasure na sorrow through every hollow
I will always walk in the steps you called me to follow
Katika kila tatizo (sitakata tamaa) iwe kubwa au dogo (nitakutegemea)
Nitaweka imani yangu yote kwako
Pleasure na sorrow (pleasure na sorrow)
Through every hollow (through every hollow)
I will always walk in the steps you called me to follow
(Eh tatizo) katika kila tatizo (kubwa au rahisi)
Iwe kubwa au ndogo
Nitaweka imani yangu yote kwako
(Bila masharti) bila masharti ulinichagua
(Ukanipenda Baba) ulinipenda jinsi nilivyokuwa, Emmanuel
Siwezije kuhisi kubarikiwa, kwa neema yako kubwa, uliyomimina
Bila masharti ulinichagua
Ulinipenda jinsi nilivyokuwa, Emmanuel
Siwezije kuhisi kubarikiwa kwa neema yako kubwa (kwa neema, kwa neema) uliyomimina
Bila masharti ulinichagua
Ulinipenda jinsi nilivyokuwa, Emmanuel (nitakuinua)
Siwezije kuhisi kubarikiwa (nitakuabudu) kwa neema yako kubwa uliyomimina
Bila masharti ulinichagua (mimi nilipendwa)
Ulinipenda jinsi nilivyokuwa, Emmanuel
Siwezije kuhisi kubarikiwa kwa neema yako kubwa (kwa neema) uliyomimina
Kwa juu yangu
(Oh-oh-oh-oh) niligonga mlango
(Oh-oh-oh-oh) ukanifungulia
(Oh-oh-oh-oh-oh) I will glorify you
I go lift you high
Kwa uhuru nimepanda
(Oh-oh-oh, through whole you deserve the glory)
(Iyooh ah through ah you deserve the glory)
(I yeah ah through all you deserve the glory)
(Iyeah ma ah through ah you de-)
Written by: Irene mugisha ox

Loading...