album cover
DUNIA
album cover
00:00
00:05
00:20
00:30
00:35
00:45
00:55
01:00
01:05
01:20
01:30
01:45
01:50
02:15
00:00
02:29
Ultimi 7 giorni
DUNIA è stata scoperta più frequentemente nei primi secondi di la canzone durante la settimana passata

Video musicale

Video musicale

Testi

[Verse 1]
Unapenda papa mpa, mpa
Nipe pepe mpe, mpe
Unapenda papa mpa, mpa
Utatoa pepe mpe mpe
Usipende bure bure utauponza
Utauponza moyo utauponza
Unapenda mishangazi, ngazi utauawa
Utauawa bure utauawa
[PreChorus]
Na kama nataka kukupa ntakupa
Punguza pupa kichupa usitupe chooni
Utamu unakuja unakata unakuja unakata
[Chorus]
Dunia tamu (Eeh) Dunia chungu (Aah)
Dunia tamu (Eeh) Dunia chungu (Aah)
Dunia tamu (Eeh) Dunia chungu (Aah)
Dunia tamu (Eeh) Dunia chungu (Aah)
[Verse 2]
Uzuri mzuriri shape ana roho roho tamu haswa
Ila za ndani ana umeme
Ananukia uturiri pesa anazozo nyingi haswa
Ila za ndani ana umeme
Oya usompenda kaja, ita kiriku
Ita kibajaji, hamisheni virago
[PreChorus]
Na kama nataka kukupa ntakupa
Punguza pupa kichupa usitupe chooni
Utamu unakuja unakata unakuja unakata
[Chorus]
Dunia tamu (Eeh) Dunia chungu (Aah)
Dunia tamu (Eeh) Dunia chungu (Aah)
Dunia tamu (Eeh) Dunia chungu (Aah)
Dunia tamu (Eeh) Dunia chungu (Aah)
Written by: Blvcq, Marioo
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...