album cover
Watu
album cover
00:00
00:05
00:15
00:25
00:55
01:10
01:25
01:35
01:40
01:45
01:50
02:00
02:15
00:00
02:23
Ultimi 7 giorni
Watu è stata scoperta più frequentemente a circa 25 secondi dall'inizio la canzone durante la settimana passata

Video musicale

Video musicale

Testi

[Chorus]
Watu wewe
Watu ooh ooh ooh
[Verse 1]
Lazima tupate tupate tupate
Lazima tupate ile kitu roho inapenda
Mungu kaumba vitu, kaumba watu kwa dunia
Lazima tupate ile kitu roho inapenda
We baba wa kambo mbo, bora uninyonge
Me sioi kimbaumbau najijua
We baba wa kambo mbo, bora uniuwe
Napendaga ndembendembe gwedegwede
Bora kuwa single, kuliko nusu mtu
Nataka nikipita nae, mikono juu mwendo wa mateka
[Chorus]
Watu wewe watu wewe
Watu ooh ooh ooh watu ooh ooh ooh
Watu wewe watu wewe
Watu ooh ooh ooh watu ooh ooh ooh
[Verse 2]
Mambo ya mwanamke sura, mi sitaki mambo hayo
Mwanamke shepu, sura hata mbuzi anayo
Mi sipendi mademu wembamba
Napenda mademu, wenye nyama nyama
Walojaza nyuma wenye misambwanda
Wakipita yani ni vidana dana
Oya wanawake wasio kuwa na shepu
Kwanza wangetiwa selo
Wanajaza dunia
Ka umeshindwa natural from God fanya hata BBL
Nini unasubiria ooh mwenzenu
Nataka nikipita nae, mikono juu mwendo wa mateka
[Chorus]
Watu wewe watu wewe
Watu ooh ooh ooh watu ooh ooh ooh
Watu wewe watu wewe
Watu ooh ooh ooh watu ooh ooh ooh
Written by: D Voice, Marioo
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...