album cover
Dunia
197
Christian
Dunia è stato pubblicato il 15 agosto 2025 da GUARDIAN ANGEL GLOBAL come parte dell'album Dunia - Single
album cover
Data di uscita15 agosto 2025
EtichettaGUARDIAN ANGEL GLOBAL
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia
BPM192

Crediti

PERFORMING ARTISTS
Guardian Angel
Guardian Angel
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Audiphaxad Peter
Audiphaxad Peter
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Guardian Angel
Guardian Angel
Executive Producer

Testi

[Verse 1]
Hilo Dunia ina mambo, mambo
Tembea utaona mambo kuna mambo
Hilo Dunia ina mambo, mambo
Tembea utaona mambo kuna mambo
[Verse 2]
Iyee, watakuona ukisuffer
Wakusengenye wakutukane
Alafu ukishaondoka
Wajikusanye wakuchangie
[Verse 3]
Wanakuita kiongozi
Wakati unawasupporti
Lakini ukishaishiwa
Wanasema wakutumie pesa vizuri
[Verse 4]
Kuna yule ameacha mume wake kwa sababu amecheati eeh
Sasa ana mahusiano na mume wa mwenyewe
Eh na kuna yule ameacha mke wake kwa sababu anamshuku
Sasa ana mahusiano na mke wa wenyewe
[Chorus]
Hilo Dunia ina mambo, mambo
Tembea utaona mambo kuna mambo
Hilo Dunia ina mambo, mambo
Tembea utaona mambo kuna mambo
[Chorus]
Hilo Dunia ina mambo, mambo
Tembea utaona mambo kuna mambo
[Verse 5]
Uliacha mambo ya kanisa
Kwa sababu ulikosana na pastor
Na ukikosana kwa klabu
Huachi pombe
[Verse 6]
Unakula nao, unacheka nao
Ukipata deal unaandamana nao
Kidogo kidogo ukiachana nao
Unajiseti vikao wanakushika vibao
[Verse 7]
Wanakuambia nao
Mi naogopa kila mtu
Kikulacho ki nguoni mwako oh na
Ninamwamini Mungu pekee, Mungu pekee
[Chorus]
Hilo Dunia ina mambo, mambo
Tembea utaona mambo kuna mambo
Hilo Dunia ina mambo, mambo
Tembea utaona mambo kuna mambo
Written by: Audiphaxad Peter
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...