album cover
Ni Wewe
album cover
Ni Wewe è stato pubblicato il 12 giugno 2026 da Ziiki Media come parte dell'album Ni Wewe - Single
12 giugno 2026
EtichettaZiiki Media
BPM89
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia

Video musicale

Video musicale

Testi

[Verse 1]
Furaha ya mwanaume, palipo na amani yake
Anawekeza pale palipo na heshima yake
Tofauti na moyo wake hata pin ya benki atakupa ah
Endapo unajiuliza nini, nilichokifuata kwake
Ata papa nalishwa ah
Nalishwa vinono
Mtoto anachacharika, kiuno ndombolo ya solo
Kwake mimi usemi sina
Kama vile dondocha
Kama vile dondocha
[PreChorus]
Unapenda nikikuzagamua
Unapenda jinsi nakutouch
Baby ukinitazama
Pumzi zinakata kati kati
'Penda nikikuzagamua
Unapenda jinsi nakutouch
Baby ukinitazama
Pumzi zinakata kati kati
[Chorus]
Ni wewe ni wewe ni wewe
Unanisitiri mpenzi ni wewe
Ni wewe ni wewe ni wewe
Anayejua kunijigi jigi mpenzi ni wewe
[Verse 2]
Siwezi kuyaparamia
Usijeniumiza nikalia
Eti wanasema wewe
Una msiri wako
Kupenda ni kwa vitendo
Maneno hukosa maana
Elewa mi sipendi stress
Kutwa kucha kulombana
[PreChorus]
Unapenda nikikuzagamua
Unapenda jinsi nakutouch
Baby ukinitazama
Pumzi zinakata kati kati
'Penda nikikuzagamua
Unapenda jinsi nakutouch
Baby ukinitazama
Pumzi zinakata kati kati
[Chorus]
Ni wewe ni wewe ni wewe
Unanisitiri mpenzi ni wewe
Ni wewe ni wewe ni wewe
Anayejua kunijigi jigi mpenzi ni wewe
Written by: Jacob Obunga
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...