歌詞

Tulikotoka ni mbali tuendapo ni karibu Ulituvusha milima na bonde wewe ndie Baba a huruma uhimidiwe ushukuriwe Tazama uzuri wa uumbaji wake ona Uzuri wa maajabu yake sababu yake Kila kitu kipo pake kwa ustadi wake Kazi yake yastaajabisha mnoo
Writer(s): Martha Mwaipaja Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out