歌詞

Aiyoo aiyoola iyeeh Ayolaa mamaaa! Aiyoo aiyoola iyeeh Nilifundishwa na bibi Kijijini jinsi ya kupenda Na mwanamke hapigwi Na ngumi ila upande wa kanga Tena mapenzi sio League Nikakubali kushindwa Mi sikufunzwa graji Ushindane risasi kwa panga Mbona nilikuthamini Mengi nikakusevia (aah aah) Sitosema hadharani Wengi wakayasikia (aah aah) Sio wakunipanda kichwani Hukumbuki tulipotokea (aah aah) Na kunishusha thamani Kipi nilichokosea Ingawa kidogo nilichopata Nikajinyima uridhike Ila hukujali ukanikatili moyo Majirani walinicheka Ulipo-force nipikee Aah sio siri ilinivunja moyo Kisirani, ugomvi bila chanzo Ni ukweli upo moyoni Sina budi nilivue pendo Ingawa kishingo upande Aiyooo aiyoola iyeeh Sito-force unipende Aiyooo aiyoola iyeeeh Oh kishingo upande mama Aiyoo aiyolaaaa iyeeh Basi bora uende mama Aiyoo aiyoola iyeeh Sitosema mapenzi basi Nimeumbwa na moyo Moyo wenye matamanio Na unapenda pia Ila nitaijuitia nafsi Nilikufanya chaguo Aah chaguo la moyo Kumbe ulipita njia Nilivyowanyima ndugu Vya siri nikakutunzia Usijeleta vurugu Akili ukaitibua Najuta kujitia bubu Sitaki vya kusikia Kisa pendo unisurubu Mengi nishayafumbia Mbona nilikuthamini Mengi nikakusevia Sitosema hadharani Wengi wakayasikia Sio wakunipanda kichwani Hukumbuki tulipotokea Na kunishusha thamani Kipi nilichokosea Oh! Kisirani, ugomvi bila chanzo Ni ukweli upo moyoni Sina budi nilivue pendo Ingawa kishingo upande Aiyooo aiyoola iyeeh Sito-force unipende Aiyooo aiyoola iyeeeh Oh kishingo upande mama Aiyooo aiyoola iyeeh Ah sibora uende mama Aiyooo aiyoola iyeeh Ingawa kishingo upandwe Aiyooo aiyoola iyeeh Sito-force unipende Aiyooo aiyoola iyeeeh Oh kishingo upande mama Aiyooo aiyoola iyeeh Ah sibora uende Aiyooo aiyoola iyeeh Kishingo upande Kishingo upande Na maxmizo Harmonize baibe Harmonize baibe
Writer(s): Rajabu Abdukahal Ibrahim Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out