クレジット
PERFORMING ARTISTS
Rayvanny
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Rayvanny
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Producer
歌詞
Leo nakula kwa macho, nguvu ya kusema sina
Maneno ya mipasho na jeuri zimeshazimaa
Nilishafuta namba zako, nikachoma picha zako, sikujali ulivyoliaa
Mbele ya mashoga zako, nikasema uende zako, nguo nikakutupiaa
Na zaidi, uliuguza vidonda kwa vipigo, manyanyaso kila siku
Kwa mawazo ukakonda, niko bize kucheat, nafungua zipu
Ulinibembeleza, nikakubeza, unanuka na nikakutelekeza
Macho makengeza, miguu ya pweza, kuwa nawe nikamesa niliteleza
Leo unapendeza, wamekutengeneza, wanaume wenye mali wenye fedha
Sasa unajiweza, siweza kujikweza, najutia nafasi kuipoteza
Leo aibu yangu
Ex boyfriend
Ex boyfriend
Ex boyfriend
Siitwi tena honey, baby jina langu limekuwa
Ex boyfriend
Ex boyfriend
Ex boyfriend
Sikujua kumbe tabu peke yangu, naugua
Nawaza nilifeli wapi, kusema sikutaki, sura ya baba na kitambi cha makasi
Sasa una mtanashati bitozi tena smati, mtu wa gym tena ana six park
Me nipo juu ya bati, sina mikakati, geto mwendo chai na chapati
We ushahama Mburahati, una nyumba masaki, ama unachoma nyama kila siku party
Mi ushanipiga mikuki (Aah), Insta mi sifurukuti (Aah)
Mambo ya gauni suti (Aah), mkifanya photoshoot (Aah)
Mapenzi hayana komando, mwenzako inaniuma roho
Natamani nikwite njoo, turudi kama before
Kumbe shepu ilijificha kwenye dera, hizo skini jinsi mama zinakera
Utaniletea kadi kwenye machela, siku akikuvalisha shera
Na ulinibembeleza, nikakubeza, unanuka na nikakutelekeza
Macho makengeza, miguu ya pweza, kuwa nawe nikamesa niliteleza
Leo unapendeza, wamekutengeneza, wanaume wenye mali wenye fedha
Sasa unajiweza na sio najikweza, najutia nafasi kuipoteza
Leo aibu yangu
Ex boyfriend
Ex boyfriend
Ex boyfriend
Siitwi tena honey, baby jina langu limekuwa
Ex boyfriend
Ex boyfriend
Ex boyfriend
Sikujua kumbe tabu peke yangu, naugua
Written by: Rayvanny