ミュージックビデオ

ミュージックビデオ

クレジット

PERFORMING ARTISTS
Angel Benard
Angel Benard
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Angela Benard Lyamba
Angela Benard Lyamba
Songwriter

歌詞

[Verse 1]
Umbali huu nimefika
Si kwa nguvu zangu
Si uwezo wangu
Bwana amefanya
Hapa nasimama
Si kwa nguvu zangu
Si uwezo wangu
[Verse 2]
Bwana amefanya
Umbral nimefika
Si kwa nguvu zangu
Si uwezo wangu
Bwana amefanya
Hapa nasimama
Si kwa nguvu zangu
Si uwezo wangu
[Chorus]
(Bwana amefanya nimeona) Wema aah, wema
(Nimeona) Wema usosemeka
(Ooh nimeona) Wema aah, wema
(Ooh nimeona) Wema usosemeka
[Verse 3]
Nimeona aah
Mungu asieshindwa eeh eh
Nimeona
Mungu asopendelea aah
[PreChorus]
Nimeona
Rafiki mwaminifu ooh
Nimeona
Shujaa wa vita, eeh
[Chorus]
(Nimeona) Wema aah, wema
(Nimeona) Wema usosemeka
(Ooh ninashuhudia) Wema aah, wema
(Nimeona) Wema usosemeka
[Bridge]
Mwema
Mwema
Mmh, eeh
[Verse 4]
Bwana ni Mungu
Akisema neno linasimama
Bwana ni Mungu
Akisema neno linasimama
[Chorus]
(Ooh nimeona) Wema aah, wema
(Nimeona) Wema usosemeka
(Nimeona) Wema aah, wema
(Ooh) Wema usosemeka
[Bridge]
Nimemuona shujaa, nimemuona mwokozi
Mshika agano
Nimeonaa eeh
[Chorus]
(Nimeona eeh) Wema aah, wema
(Hayupo tena) Wema usosemeka
(Mshika agano) Wema aah, wema
(Nimemuona Bwana) Wema usosemeka
(Nimeona) Waema aah, wema
(Nimeona) Wema usosemeka
(Nimeona) Waema aah, wema
(Nimeona) Wema usosemeka
Written by: Angela Benard Lyamba
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...