クレジット
PERFORMING ARTISTS
Mathias Walichupa
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Mathias Walichupa
Songwriter
歌詞
[Verse 1]
Siri ya furaha yangu
Imo ndani ya pendo lako
Ustamani wa uo utu wangu
Umejengwa na pendo lako
[Verse 2]
Si rahisi kuyahesabu
Maana ni mengi haya mapenzi yako
Na nikiyatafakari iih
Naona nimependelewa na wee
[PreChorus]
Malangoni mwako ninakushukuru (Asante Bwana)
This love is beautiful
Love is beautiful
Kwa kelele za shangwe mi ninakutukuza Bwana
Ooh utukuzwee Bwana
Kwa mengi umetenda naona
[Chorus]
Ni upendo wako
Upendo wakoo
Ni upendo wako ooh Bwana
Upendo wako
Ni upendo wako
Upendo wakoo
Ni upendo wako ooh Bwana
Upendo wako
[Verse 3]
Ulitazamae kusudi lililofichwa, eeh
Kati ya mengi yangu madhaifu
Mungu mwaminifu wa nyakati zote
Ooh faraja ya kweli idumuyo (Halleluya halee)
[Verse 4]
Nitaipaza sauti siku zote nikwimbiye (Halleluya halee)
Kwa maana we ni mwema unaishi ndani yangu (Halleluya halee)
Matendo yako ya ajabu, fadhili zako za milele (Halleluya halee)
Sahibu wangu adonai uhimidiwe
[PreChorus]
Malangoni mwako ninakushukuru (Asante Bwana)
This love is beautiful
Love is beautiful
Kwa kelele za shangwe mi ninakutukuza Bwana
Ooh utukuzwee Bwana
Kwa mengi umetenda naona
[Chorus]
Ni upendo wako
Upendo wakoo
Ni upendo wako ooh Bwana
Upendo wako
Ni upendo wako
Upendo wakoo
Ni upendo wako ooh Bwana
Upendo wako
Written by: Mathias Walichupa