ミュージックビデオ

ミュージックビデオ

クレジット

PERFORMING ARTISTS
Joel Lwaga
Joel Lwaga
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Joel Lwaga
Joel Lwaga
Songwriter

歌詞

Eeeeh Eeeeh Eeeeh
Una Mpango na mimi
Hata nisipoona sasa
Una mpango na mimi
Una mpango na mimi
Usingefanya yote haya
Una mpango na mimi
Yaweza kuwa Ni giza nene saa hii
Yaweza kuwa ni Usiku mzito sana
Labda siwezi tena kuomba kama awali
Ila imanı yangu kwako ingali thabiti
We Bwana wajua sababu yote haya
Hata kama sioni wakati huu wa sasa
Ila haiondoi kusudi lako Jema
Una mpango na mimi
Mpaka umeruhusu basi umeniamini
Kwamba sitakufuru na sitaikana Imani
Hivyo faraja yangu katika huu moto mkali
Ni kwamba Uko na Mimi
Una Mpango na mimi
Hata nisipoona sasa
Una mpango na mimi
Una mpango na mimi
Usingefanya yote haya
Una mpango na mimi
Eeeeh Eeeeh Eeeeh
Kiukweli sio rahisi
Mwili dhaifu roho i radhi
Natamani hiki kikombe kikali
Kiniepuke ila sinayo budi
Huenda kunae Joshua badala ya Musa
Lakini hakuna mwingine badala ya Yona
Huenda ningali naishi kwa kusudi moja
Una mpango na mimi
Una Mpango na mimi
Hata nisipoona sasa
Una mpango na mimi
Una mpango na mimi
Usingefanya yote haya
Una mpango na mimi
Eeeeeh
Weee Baba
Weeee Babaa Babaa Babaaa
Una mpango na mimi
Written by: Joel Lwaga
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...