뮤직 비디오

Ethic Entertainment & Boondocks Gang - THAO
{artistName}의 {trackName} 뮤직 비디오 보기

제공

크레딧

실연 아티스트
Ethic Entertainment
Ethic Entertainment
실연자
Boondocks Gang
Boondocks Gang
실연자
Boniface Mwangi
Boniface Mwangi
보컬
Peter Njau Kinya
Peter Njau Kinya
보컬
Thomas McDonald Otieno
Thomas McDonald Otieno
보컬
Leroy Miwa Ouma
Leroy Miwa Ouma
보컬
Tonny Kinyanjui
Tonny Kinyanjui
보컬
Francis Macharia
Francis Macharia
보컬
Edward Kimachu
Edward Kimachu
보컬
작곡 및 작사
Tonny Kinyanjui
Tonny Kinyanjui
송라이터
Francis Macharia
Francis Macharia
송라이터
Edward Kimachu
Edward Kimachu
송라이터
Magix Enga
Magix Enga
작곡가
Swat
Swat
송라이터
Zilla
Zilla
송라이터
Seska
Seska
송라이터
Rekless
Rekless
송라이터
프로덕션 및 엔지니어링
Magix Enga
Magix Enga
프로듀서

가사

Magix Enga on the beat Go atrangi makata, chura abaki Heri uwenki na toto Uko wiki Mteke wiki gizani mpige miti Titititi picky titi titi Pinji linki mitini kingikingi Zigi zigi mitini mingi mini Piki piki piki Pikipongi cheki doggie ka-shawty piga quickie Chain ori ori, niko kori kori Mfuko pori pori ndo nimejaza kama kori Ameshika kutu si anakaa fori fori Shika tori tori, chezea doli doli Teka msupa ana mabuibui Unastuka nimekuteka na hunijui jui unataka stingo Fulani za magui gui ka una swara kuja area nina chui chui ah (I-i-inauma but, itabidi uzoee) Nasema dam digidigi mi ni team wikendi, Come hivi hivi tuji kill vi deadly, Nasema dam digidigi mi ni team wikendi, Come hivi hivi tuji kill vi deadly Cheki, si dharau chapa nani na thao Si dharau chapa nani na thao Si dharau chapa nani na thao Si dharau chapa nani na thao Nakata waba ni-niji fry liver, ju sijamanga mi ni kuririma Nikiiva mali, nikiririma Na balaa sina ngale, piga diva dimba Kitambi ya barley, Jo makeki hujipa wakidhani nina mali na Sita sitasita nina makagare, izame futi sita Akivua dungaree ki tanker, keg hadi cham nakunywa Ni tam tam, cheki have some kunyuwaa Kahanjam kakikam mi nina kiuwaa Pongi small kama shimo ya mapua Odi wa Murang'a wanadai niwe wao, madem wao nawanyoroshea kwanza kwao Ikus zao ni misitu tu ka za Mau Na jegi zao zimesag kama toja zao Na hivi ndo mi huingia statoe na kajaba Na hivi ndo mi hucheza longo na wamatha Shosho mang'uru anadai sijui kawada, na zake zimeshika ashameza kajaba Nasema dam digidigi mi ni team wikendi come hivi hivi tuji kill Vi deadly nasema dam digidigi mi ni team wikendi kam hivi Hivi tujikill vi deadly cheki, si dharau chapa nani na thao Si dharau chapa nani na thao, si dharau chapa nani na thao Si dharau chapa nani na thao Cheki ananibore kwanza za kitore Alafu ananingorea kwanza za king'ore Msupa utanichorea nikikupiga ngotea Alafu utaninyorea nikikupiga ndiole Nikikupiga ndiole, Nikikupiga ndiole Msupa utaninyorea nikikupiga ndiole Nikikupiga ndiole, Msupa utaninyorea Msupa utaninyorea nikikupiga ndiole Maddox, cheki tu mahaga mi nadai kuzikemba Mi nina kiforo kia chwani na spedi ka cheda Vuta tu makoro na uitishe bartender Wachana na hizo haga ushajua ushapenda Parachichi sidai para ya chichi Nikitichi msupa adai miti, titi titi, Chikichiki mbleina apigwe pinji kama dingo akule minji aah Gwiji gwiji mchezo wa anasa, ama jigi jigi aah Nasema dam digidigi mi ni team wikendi Come hivi hivi tuji kill vi deadly Nasema dam digidigi mi ni team wikendi, come hivi hivi Tuji kill vi deadly cheki, si dharau chapa nani na thao Si dharau chapa nani na thao Si dharau chapa nani na thao Si dharau chapa nani na thao
Writer(s): Magix Enga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out