가사

Wacha nikulambe lambe Wacha nikukembe kembe Mmmh Kembe kembe Mmmh Yoh chunga sana na hapa utatekwa mami Si ati nachocha utatekwa utatii Ngoma noma niite bazenga dadii Nafanya vi easy rahisi nanii Easy kama Do re mi Do re mi, Do re mi, Do re mi Easy kama Do re mi Do re mi, Do re mi, Do re mi A, e, i, o, u Breeder huwanga badboy tangu class 2 Nikiwa form 2 nilitekana kwa loo Princi akanipea pano ati nioshe staffroom Jaribu vile utaeza bora usidoz mapema Alafu after mechi usiweke kithong kwa Meza Keja ni ya mabati basi kelele sitaki Fimno jo mzito ata haitoshei kwa khaki Vile ngoma inachuna, Wacha isonge ka romour Moshi ndani ya medulla, ka si filler sauna Ka ni ganji mi sina, si nitakuteka tu na lugha Ka ni sura we huna, Jo sijali nitakukumba Tingiza hiyo tako dogodogo na doido Landi atinge keja leo nitakuingiza mpaka na diro Breeder otero wa kenyamo na mastingo Mi huninyonya sana amenigeuza Viks Kingo Chunga sana na hapa utatekwa mami Si ati nachocha utatekwa utatii Ngoma noma niite bazenga dadii Nafanya vi easy rahisi nanii Easy kama Do re mi Do re mi, Do re mi, Do re mi Easy kama Do re mi Do re mi, Do re mi, Do re mi Nilianza kudinyana nikiwa class 2(Ate what?) Nilianza kutumia madre F2 Pigia Jetli, pigia Jackie Chan bana Waambie leo tuna mbogi ya kurombosana Wacha nikulambe lambe Wacha nikukembe kembe Mmmh Alejandro morio wa anzenza Mara ya kwanza nilitoa kutu ndani ya Vera 69, missionary na whichever Whatever, however and whenever Mi ni fisi na sihurumii ata kilema Ngwati naicheki ndani ya cinema Najua safety zako za kalenda Come come, Hebu mwaga tena Nilikuwa jingalo time za Mandela Alenjandro zaddy fathela Chunga sana na hapa utatekwa mami Si ati nachocha utatekwa utatii Ngoma noma niite bazenga dadii Nafanya vi easy rahisi nanii Easy kama Do re mi Do re mi, Do re mi, Do re mi Easy kama Do re mi Do re mi, Do re mi, Do re mi Wacha nikulambe lambe Wacha nikukembe kembe mmmh Kembe kembe mmmh Kembe kembe mmmh
Writer(s): Peter Wekesa Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out