가사

Si ako fiti kutu na ako njiti Kukumanga choki ni kimiti High voltage hapa ni kurisky Nina arimis hapa staki kiki Hakuna stori ya food hapa natakaa (kanuthu) Hakuna ugirimba nina quarter (kenuthu) Nakudai sai nina shada (kanuthu) Kanuthu, kanuthu,kanu, kanuthu Kwa nduthi buda mi hurankada Paka ni bushy musa tukiban shada Jogoo ya town inawika mosadha So nikule caro, nidishii Caro Kuna time nilibetty hadi kyallo Chali yake challo anakulwa salo Mi hukemba hadi don ka carlos Anadai dudu hii rungu ni kombo Muskari mi mi hudish kombi Gonga kigongi Ako jam anakam na sisongi The only motion anafeel ni kigongi Na sibongi unless niswitch kondi Hadi Vicky anafeel ako pon this Ye hublow job mi nikiblow kiss Na sipay fees siishi kwa office Si ako fity kutu na ako njiti Kukumanga choki ni kimiti High voltage hapa ni kurisky Nina arimis hapa staki kiki Hakuna stori ya food hapa nataka(kanuthu) Hakuna ugirimba nina quarter (kanuthu) Nakudai sai nina shada (kanuthu) Kanuthu, kanuthu, kanu, kanuthu Jaba yangu nifungie tu na karatathi Nishikishe nishukishe na zile mandathi Patico ya kobole na kawada seti ndani Vile nakachimba kana shangaa rada gani Ikus kama tatu nazikula ki kaimati Na ka inatupa naichuja tu ka mabati Za ketepa ya kumundo pale tu kafati Na ka ni kesi ya pedi leo najifanya jaji Maji ya uzima unaeza iita njoti Za ukulima ndo zinalisha mapedi Watiaji tuwakule tu mahedi Mama pima leta ng'ang'o ndo tumedi Rizla na kishamba kimeshika Kipizza na unajaba unashikisha Itisha kimoratish mama pima Utabakisha nikuchimbe tu saa sita Tuta piga dimba na kisoccer Nitakitinga tinga nitakitoka Ka ni fielder haga nitakigonga Shoti moja kainame nikichora Njoti zote kazilambe kusorora Kuna iphone charger yangu Motorola Anajiita wambo mtaa ni mkora Nakurora nakulola Si ako fity kutu na ako njiti Kukumanga choki ni kimiti High voltage hapa nikurisky Nina arimis hapa staki kiki Hakuna stori ya full hapa unataka (kanuthu) Hakuna ugirimba nina quarter (kanuthu) Nakudai sai nina shada (kanuthu) Kanuthu,kanuthu, kana, kanu, kanu,kanuthu Nina ngoto mi nitacheza chobo ua Ua nikunyoroshe ustake jua jua Juu ya kirungu si utazua, zua Miaka kwanza si ni kichura Kunywa zote itisha pension Ukiskia kuna tension Unatekwa ukimention Nina pienga kuja session Tufinyane nikudare nikusese Tukimane nikugeuze ukiwa ndethe Nikulambe peremende ya maseke Nikunyanyishe mashada juu una teke
Writer(s): Tony Kinyanjui, Francis Macharia, Edward Kimachu Irungu Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out