크레딧
실연 아티스트
Billnass
실연자
Marioo
보컬
작곡 및 작사
Nicholus Emmanuel Lymo
작사가 겸 작곡가
Omary Ally
작사가 겸 작곡가
프로덕션 및 엔지니어링
S2Kizzy
프로듀서
가사
[Verse 1]
Oh nakuvizia tukeshe nasubilia tutete
Nakuvisia tusepe napulizia mtete
Watakususia mkweche nitakuzugia na pete
Si unajua vile mi niko hoi hali tete
[Verse 2]
Wapo walosema kwamba sipigi show
I wish you know wasikushawishi doo
Habari zao zakua, sitishi hivyo
Charge empty kila suka yani baterry low
[Verse 3]
Aah leo una vibe tukale fresh juice
Mi ni mgonjwwa we tabibu njo unitibu one stress nice
Nitakuwa mjinga niki messi-messi
Ulikua nami toka sina kitu, enzi napiga deshi deshi
[Verse 4]
Me sijaambiwa nikwambie, ila moyo utani-tetereka
Ukiwa mbali na mie, upweke uta nitetemesha
Furaha yako niachie, hiko mikono salama deka mmh
Utakacho niambie ohh babe
[Chorus]
Tekuma, tekuma deka
Tekuma, tekuma deka (Deka ukiwa na mimi tu)
Tekuma, tekuma deka
Tekuma, tekuma deka (Deka ukiwa na mimi tu)
[Verse 5]
Aah, don't let them fool you (Fool you)
Kisa umenipenda mimi huyu (Huyu)
Mapenzi ya dhati na hiisa ulikwa nayo toka kitambo
Na mengi uka hadithia, tunawezaje ikawa mipango
Since day one niko na plan kichwani
[Verse 6]
Nimilki mjengo na bonge la wife kwa ndani
Wife sio utani wife waku vibe kanisani
Sio yule wife wa stamina alisepa nyumbani
Mapenzi ni yetu yetu, na sisi kiviyetu vyetu
Yani kama chuga baridi yetu-yetu
[PreChorus]
Me sijaambiwa nikwambie, ila moyo utani-tetereka
Ukiwa mbali na mie, upweke uta nitetemesha
Furaha yako niachie, hiko mikono salama deka mmh
Utakacho niambie ohh babe
[Chorus]
Tekuma, tekuma deka
Tekuma, tekuma deka (Deka ukiwa na mimi tu)
Tekuma, tekuma deka
Tekuma, tekuma deka (Deka ukiwa na mimi tu)
Ooh ooh (Deka ukiwa na mimi tu)
Ooh ooh (Deka ukiwa na mimi tu)
Written by: Nicholus Emmanuel Lymo, Omary Ally

