뮤직 비디오

크레딧

작곡 및 작사
Sara Woltram Nyongole
Sara Woltram Nyongole
송라이터

가사

Bwana wangu atanifanya Mimi kuwa nguzo ya chuma Tena akasema atanizungushia Boma la shaba Bwana wangu atanifanya Mimi kuwa nguzo ya chuma Tena akasema atanizungushia Ukuta wa shaba Mimi ni dhahabu safi Kwenye moto nimepita Nimekuwa kiumbe kipya Ya kale yamepita Ninapaa kama tai Sitachoka mimi Nimepata nguvu mpya Nimesimama tena Mimi ni dhahabu safi Kwenye moto nimepita Nimekuwa kiumbe kipya Ya kale yamepita Simama, simama we Simama, simama we Simama, simama we Simama, simama we Wamtumainio Bwana ni kama mlima Sayuni Hawatatikisika kamwe Wataenda kwa miguu lakini hawatachoka Bwana atawategemeza miguu yao Ijapo dhoruba yajapo mawimbi watasimama Jua liwake mvua inyeshe hawatatereka Ijapo dhoruba yajapo mawimbi hawatayumba Jua liwake mvua inyeshe hawatatereka Simama, simama we Simama, simama we Simama, simama we Simama, simama we Watu wote simameni Na mfanywe imara (Imara) Maana Mungu mwenyewe Yeye ameshafanya (Fanya) Wakati umefika Sasa wa kuinuka (Inuka) Utukufu wa Bwana Umewazukia Simama Simama, simama we Simama, simama we Simama, simama we Simama, simama we
Writer(s): Sara Nyongole Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out