가사

Hii hii Mmmmm hiii Nah na nana na aah Mmmh Nimekupa nafasi kubwa kwenye maisha yangu Uhai wangu unao wewe Leo penzi unalitupa mi akili yanguu Haiwezi kwenda bila wewe Mpaka natamani muda ungehesabu kwa kwenda nyuma Huenda ningepata nafasi ya kuwa na wewe Japo najikaza ila roho yangu inaniumaa Kuliko nikuachee ni bora nife nijue kimojaa Ohooooo ohooooo ohooooo ohoooo Nafasi si yako bebiii Ohoooo hohooo ohoooo hooo Pengo lako mammy Ohooo hoooo hooo hooo Nafasi yako bebii Ohoooo hooo hoo Hakuna anaeweza kuzibaa Siwezi Siwezi (siwezi) Siwezi Mi siwezi (siwezi) Mi siwezi (siwezii) (Siwezi) Kukuacha uende siwezi siwezi Wapo wanaonipa moyo utarudi Ila kwa maneno yako Siwezi kuamini kama utarudi Hata chakula hakipandi Hata story hazigangi Nimekuwa bubu mi nimekuwa zuzu Mwenzako dumele mfa maji Sura imejaa ukakasi ni vilio tuu Msiba wote wanguu Ohooooo ohooooo ohooooo ohoooo Nafasi yako Ohoooo hohooo ohoooo hooo Pengo lako mamiii Ohohhooo ohooo hoooo Hakuna anaeweza kuzibaa kuizibaa Ohoo Siwezi (siwezi) Siwezi (siwezi) Siwezi Mi siwezi Siwezi Mi siwezi Siwezi siwezi siwezii Siwezi I wanna dedicae this song The words, tunes belongs to you So when you hear this melody begins You will know what im feeling Inside my heart I'm wishing you well May God protects You Golden
Writer(s): Salum Said Nyangumwe Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out