뮤직 비디오

제공

크레딧

실연 아티스트
Golden Tz
Golden Tz
실연자
작곡 및 작사
Golden Tz
Golden Tz
작곡가
프로덕션 및 엔지니어링
Truename
Truename
프로듀서
Flexible Music
Flexible Music
믹싱 엔지니어

가사

It's your favorite boy truname from this city Mmhmm eehe Mmmh Sijajuta kuwa na wewe Ila maumivu ya siku mbili kama miaka ishirini Ungezidisha ya tatu miaka tisini Mie lawama sina Pirato ni wewe uliyenihukumi mie Na kama wa kumpa huna Basi usijali nirudishie mie Ila ukumbuke sikio lako hukutuliza mama Kikazonga kipupwe na mi maneno isiyokuwa na maana Niko radhi unisurubu ila kulia mtu mzima ni aibuu Acha mvua Mvua ifutee Ifute machozi yangu mimi Ifute machozi yangu mimi Acha mvuaa Mvua ifutee Ifute machozi yangu mimi Ifute machozi yangu mimi Mi nafungua soda, wanakunywa wenzangu Nachonga kigoda naambiwa sio changu Silaumu marafiki zako Maana uliwachagua mwenyewe Mlichofunzana siri yakoo Ila umenipa donda ndugu tena haliponi Ona madaktari na waganga wote hawalioni (Hawalioni) Linauma ndani kwa ndani Linachoma ndani kwa ndani Linauma mwenzenuu eeh eheee Acha mvua Mvua ifute Ifute machozi yangu mimi Ifute machozi yangu mimi Achaa mvua Mvuaa ifute Ifute machozi yangu mimi Ifute machozi yangu mimi We unanajua kwamba mimi naumiaa (Naumia) Huruma yako naomba basi sikiaa (Sikia) We unajua kwako sijiweziiii Mi nitasubiri siku,mwaka,mweziiii hii Acha mvua mvua ifute Ifute machozi yangu mimi Ifute machozi yangu mimi Acha mvua Mvua ifute Ifute machozi yangu mimi Ifute machozi yangu mimi Hihiihi hihiiii Golden.
Writer(s): Salum Said Nyangumwe Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out