가사

A-M Records This is crazy, I just want to tell you How badly my heart is broken This is absolutely painful for me to say this, damn Mie mwenzenu tena basi Oh mapenzi sitaki Oh mwenzenu tena basi basi sitaki Oh mwenzenu tena basi Oh mapenzi sitaki Oh mwenzenu tena basi basi sitaki Yalinifanya nikaugua Mara napanga napangua Mwili ukakonda nikapungua Oh sikulala, sikulala Oh maradhi nikaugua oh Yakanichoma na kuungua roho Kutwa nawaza na kuwazua Sikulala Yani hayo mapenzi bwana hayana maana Yalinifanya mi nichekwe Sababu yake nishagombana nikatukanwa Lakini akanipiga teke, ai Haya mapenzi bwana hayana maana Yalinifanya mi nichekwe Sababu yake nikagombana Usiku mchana, yeye Mi mwenzenu tena basi Oh mapenzi sitaki Oh mwenzenu tena basi basi sitaki Oh mwenzenu tena basi Oh mapenzi sitaki Oh mwenzenu tena basi basi sitaki Oh nilishagombana na mama mzazi Akataka nimwagia radhi Sababu yule fulani Yule wamoyo wangu Yakaleta zengwe kwa kazi Ugomvi wa simba na panzi Vurugu kwa majirani Ai eh Mola wangu Yani hayo mapenzi bwana hayana maana Yalinifanya mi nichekwe Sababu yake nishagombana nikatukanwa Lakini akanipiga teke, ai Hayo mapenzi bwana hayana maana Yalinifanya mi nichekwe Sababu yake nikagombana usiku mchana Yeye Mi mwenzenu tena basi Oh mapenzi sitaki Oh mwenzenu tena basi basi sitaki Oh mwenzenu tena basi Oh mapenzi sitaki Oh mwenzenu tena basi basi sitaki
Writer(s): Naseeb Abdul Juma Issack Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out