가사

Uuuuh Oo my wee Nataka nikupe penzi ulishike lote Ulishike kwa mikono Kwa mikono mwenyewe Na hata ukiwa mbali wee Jifanye bado kma tuko wote mama Fumba mache unione, unione mwenyewee Kweli mabaya yapoo Ila mazuri yapoo Tujishikile, usije ukaniacha Utafanya niliee Kweli wabaya wapooo Ila wazuri wapooo Inabidi uangalie Usiwatamanie utafanya nilie Huyu wa sasa Nahisi nimefika Sitaki hata kupepesa macho Sioni kando Huyu wa sasa Nahisi nimefika Sitaki hata kupepesa macho Sioni kando Mwenzako penzi lako burudani Jamani huku hoi taabani Mwenziooo sikioo alisikii tena Wee jione mwamba Ringa, vimba, dunda Wajue nakupenda aaah Mwenzio nakupenda aaah Na mi natamba Insta, tiktok Naringa mwenzio nakupenda aah Wajue nakupenda aaah Kweli mabaya yapooo Ila wazuri wapooo Tuji shikilie, usije ukaniacha Utafanya niliee Kweli wabaya wapooo Ila wazuri wapooo Inabidi uangalie Usiwatamanie utafanya nilie Huyu wa sasa Nahisi nimefika Sitaki hata kupepesa macho Sioni kando Huyu wa sasa Nahisi nimefika Sitaki hata kupepesa macho Sioni kando
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out