뮤직 비디오
유사한 곡
크레딧
실연 아티스트
Mbuzi Gang
실연자
작곡 및 작사
Joseph Nyamwea
송라이터
Mike Makori
송라이터
Moses Otieno
송라이터
가사
It's your favorite boy kashkeed on the track
Ukitaka cha mvunguni shrati uiname
Ngoma ni kali sharti ainame
Guruma zogo we ni kwame
Lewa tuliza idhi kanye
Nina taki ya nani
Takitaki ya kuteka kina nani
Taki ya kuchezeshwa na majirani
Takitaki yaani taki ya ganji
Taki si funny
Staki staki nyama ka si mbuzi
Venye nimeshona natumia Lil uzi
Calories kidunia
Wanaclaim wako sick that's why
Najivunia hii deal
Beat ikidrop inabeat hadi fear
Ka unadai feature ama picha lipia
Just kidding thou nishamada kunyesha
Nimekill hii flow
Nimekill ego mwana WA ingo
Niko na rende hakuna venye nitaka single
Chunga hoes bro wengi wanakaa shimo
Ukishachimba wanakutoka tu ki jelly moo
Ukitaka cha mvunguni sharti uiname
Ngoma ni Kali sharti ainame
Guruma zogo we ni kwame
Lewa tuliza idhi kanye
Nina taki ya nani
Takitaki ya kuteka kina nani
Taki ya kuchezeshwa na majirani
Takitaki yaani taki ya ganji
Taki si funny
Sikopi tenaa weka signal, uuuwiii signal
Weee wekaa signal ayayaya
Niko na taki ya kimama kinono kiko na harrier
Harrier yake na kerea zikona makerea
Sheria ni ati nitooke nikitaka any
Anyway tuko maarea area tuko mahenny aah
Ma aah ni za nini nani ni makasiriko
Ka unataka mamii kuja mahali niko
Key kwa kikoro alafu tuanze makick offs
Kidogo kondiko kwa gothora ya mmmhmm
Ukitaka cha mvunguni sharti uiname
Ngoma ni Kali sharti ainame
Guruma zogo we ni kwame
Lewa tuliza idhi kanye
Nina taki ya nani
Takitaki ya kuteka kina nani
Taki ya kuchezeshwa na majirani
Takitaki yaani taki ya ganji
Taki si funny
Kazi kwa daily mi hukuanga na doo
Ka msupa ni keki mi humwita sinor monalisa
Roho ishajipa nikimlisha mboko of course
Ye huwika, eeei
Mbuzi ndo rende
Rende rende kuchana
Mziki ni genje naimeshinda ya jana
Mfuko imeshona mtu tatu ni chama
Si tumekuja na njama
Mita moja alama
Kazi kuganga hapa kazi kuroga
Zangu zimenata nina ego imeshona
Shika huyo dada na ukikosa nabonya
Ati mbuzi ndo rende
Rende rende ogopaa
Ukitaka cha mvunguni sharti uiname
Ngoma ni kali acha ainame
Guruma zogo we ni kwame
Lewa tuliza idhi kanye
Nina taki ya nani
Takitaki ya kuteka kina nani
Taki ya kuchezeshwa na majirani
Takitaki yaani taki ya ganji
Taki si funny
Writer(s): Mike Makori, Joseph Getugi Nyamweya, Harry Otieno
Lyrics powered by www.musixmatch.com